Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naibu waziri Mulugo azungumzia 'muungano wa Zimbabwe na Tanganyika'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kertel, Oct 25, 2012.

 1. Kertel

  Kertel JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 1,936
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Asubuhi hii naibu waziri mulugo ataongelea lile sakata la muungano wa zimbabwe na tanganyika akiwa clouds fm,so tune to clouds fm usikie utetezi wake
   
 2. Kabembe

  Kabembe JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 11, 2009
  Messages: 1,580
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  What the fool is going to talk about?
   
 3. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,544
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  atasema ni makosa ya kiufundi
   
 4. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 12,191
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Tuwekee clip mkuu.
   
 5. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,657
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Asisahau na ile one nineteen sixty four!
   
 6. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 3,865
  Likes Received: 1,085
  Trophy Points: 280
  huyu jamaa katuabisha sana. Yani katufanya tuonekane viraza kabisa sa yeye kama ndiye waziri wa elimu na hajui hata tanzania imetokana na nini, je wenzetu si watashangaa ni elimu ya namna gani anayoisimamia nchini
   
 7. Kertel

  Kertel JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 1,936
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Mchina wangu hauna uwezo,kama una radio fungua clouds ataongea huko
   
 8. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 12,191
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  ok poa,,, nimesahau headphone.
   
 9. e

  exuper New Member

  #9
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 27, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa mtindo huu, taifa litazidi kuwa masikini. serikali imeshindwa kuwatumia wataalam wake iliowasomesha kujiendeleza.
  kwa maneno haya. mulugo anatakiwa kujiuzulu!!!
   
 10. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  jaman wengine tupo tanganyika ambapo hata R1 haifik itakuwa clouds, radio za uganda 2 ndo zinakamata so mtusaidie hata maandishi ya hyo interview plz
   
 11. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2012
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,475
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Clouds wanadanganya.. mbona hawajaleta hayo mazungumzo hadi sasa?
  Tumeshasubiri zaidi ya 45 mins toka waseme wanaleta.
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Oct 25, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 63,852
  Likes Received: 13,926
  Trophy Points: 280
  Huyo waziri anaenda kuzungumzia uchemfu wake?
   
 13. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,087
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 160
  Ukichapia unasahihisha papo hapo.
  It;s too late, he did us wrong!!!
   
 14. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 23,856
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  Haaaaa amecheka anasema it was just an introduction
   
 15. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  anasema ilikuwa ni power point?????anakiri kutamka hivyo lakini hakuwa na nia ya kutamka hivyo
   
 16. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,657
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Anasema alichotamka sio kilichokuwa kimeandikwa kw power point na watu wwalikuwa wameconcentrate kw power point na anadai ni slip of the tongue....
   
 17. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  anasema ni kuteleza kwa ulimi,anadai ana degree ya history na economics
   
 18. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #18
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,657
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mimi ni mwalimu wa History na Economics sikugundua nimetamka Zimbabwe....
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 23,856
  Likes Received: 365
  Trophy Points: 180
  power presentation ndio nini? flip of tounge, historia inajulikana hata mtoto wa darasa la tatu anajua, amekiri kweli alikua anaongea bila kujua
   
 20. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,657
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Yaani utetezi ni hopeless kabisa.... eti anadefend ile one nineteen sixt four eti alikuwa anataka kusoma digit moja....
   
Loading...