Naibu Waziri anaposifia makampuni ya kigeni kuwepo Tanzania kama ni mafanikio muhimu sana

Capital

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,452
1,038
Ndugu wanajamvi

Nikiwa nimejipumzisha nyumbani kwangu naagalia DAKIKA 45 ya ITV akiwa anahojiwa naibu waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa. ameongea mengi lakini alipoulizw kutoa kauli dhabiti kuhusu mabalozi wa Tanzania kuonekana kama watalii ughaibuni, nadhani mwendesha kipindi alikuwa akimaanisha hawa mabalozi hawana contribution katika maendeleo ya nchi yetu. Badala ya Naibu waziri kujibu hoja ameishia kusifia kuwepo kwa makampuni mengi ya kigeni huku akitaja kampuni la PETROBRAS la Brazil katika utafiti wa ges, aki-comfirm kuwa mabalozi siyo watalii bali wanafanya kazi.

Maana yake ni nini wahishimiwa?

Capital
 
Back
Top Bottom