Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Hakuna nyaraka za serikali zilizopotea nazo watu tukanufaika kidogo viji-confidentials??

Pole Mheshimiwa.

Mkuu kweli ukizingatia kwamba kuna historia kuwa mikataba ya kumilikisha uchimbaji wa madini imewahi kusainiwa hotelini huko ughaibuni. Isije ikawa alikuwa na original copy ya mkataba wa kummilikisha muwekezaji kitalu cha uchimbaji wa madini ya Ulanga huko Ulanga ama kule chunya alikoenda kusuluhisha mgogoro.
 
Hakika kama ni mwanaume timilifu hiyo ni michezo ya wanaume wote duniani tatizo langu ni kuwa kwa kuwa viongozi wa Tanzania ni tatizo basi tatizo lolote lenye sura negative litakalo tokea upande wao basi wajue imekula kwao.Kuna movie inaitwa Pretty Woman ya Julia Robert ina sura ya namna hii lakini sema mwisho wake na movie ya waziri wetu hu ni tofauti.

Ila kwa ninavyowajua watawala wetu walivyo hakika vinchenchede na CD wote wa mji wa moro kasoro bahari wataipata fresh.Nimeipenda hii movie kwa vile kuwa itakuwa fundisho kwa viongozi wetu wanaume kama sie walio watawala.Sie tulio kitaa wengine tulishajifunza tunavyomalizana kimtindo nao vinchenchede na CD kitaani tunajua usawa huu maisha yamepinda mpaka kwa masister zetu hao vipozeo wa stress za maisha viongozi wanayotupindisha nayo yakapelekea nao wakapinda kupitiliza.

Kanuni za kumalizana na wao, ukikamata kinchenchede unazuka nacho chobingo unazuga kiana mlangoni kikisha ingia mjengoni unavuta key kikisha ingia tia korokocho unasunda key mfukoni unaangalia kumuweka sawa akishalainika unachukua pochi yake unaweka funguo za mlango ndani ya pochi yake au trouser yake mengine yanaendelea.Akiamka kusepa ataanza na vyako akishasunda kazi iko kwenye kutoka manake mwisho wa yote utamkuta kanuna kinoma kisherudisha chako kila sehemu full kununa unamkatia chake anasepa,naaam unakamilisha msemo wa profes Jay Bongo daisalaam.

Na kingine hakuna kunywa kinywaji chochote anachokupa yeye kwa kuwa wanapenda sana kushikilia Red bull mkononi huku ikisha kuwa imemiminiwa dozi ya usingizi pono kwenye kizibo cha kufungulia.

Please watawala msiwatishe madada zetu na kuanza kuwapa vipondo na kuwaweka ndani hiyo aliyokumbana nayo MKUBWA mwenzenu ni CHANGAMOTO kwenu na sio JANGA wajue kuwa huku kitaa ndiyo maisha yetu kiasi kuwa kwetu hilo alilokumbana nalo mheshimiwa sisi mitaani kwetu watu wakisha experiemce miaka saba iliyopita na hivyo tunauzoefu miaka saba iliyopita.

Sio sawa tendo alilotendewa MKUBWA lakini walishajiuliza huyu dada kafikaje hapo mpaka kuwa na dhamila ya kumuibia MKUBWA pasi kujali UKUBWA.Kwa maana nyingine kitaani tunasema WAMEPINDA na hivyo hakuna wala hawana cha KUPOTEXZA by the way hawakumpa dozi ndefu ya kupitiliza na usingizi pengine angetutoka.
 
Habari nilizozisikia mwenyewe toka Radio One Stereo ni kwamba Naibu Waziri wa Nishati na Madini Ally Malima, ameibiwa kila kitu katika hoteli moja huko Morogoro.
Taarifa zinasema kuwa hata nguo alizovaa sasa amekirimiwa na Wasamaria. Habari hizi zimethibitishwa na Meneja wa Hoteli hiyo Eustace Mutua, ambaye ni Mkenya.

Taarifa zaidi zinaeleza kuwa WanaUsalama wa Morogoro wako, ikiwa ni pamoja na Afisa Upelelezi wa mkoa wameonekana wakitoka na kuingia katika Hoteli aliyofikia Naibu Waziri huyo, huku Ally Malima mwenyewe akiwa hajatokeza nje ya hoteli hiyo tokea alipoingia, na tokea mkasa huo ulipompata.

Naamini tutapata maendeleo zaidi ya tukio hili kwa jinsi muda unavyosogea, na huenda kukawa na menbers kwenye eneo la tukio.

Source: Breaking News saa 7 mchana Redio One Stereo!

Amechukuwa mtoto mwenye itikadi ya CHADEMA au? USA kama ameibiwa na kimada si angetakiwa kujiuzulu sijui hapa kwetu Tanzania

 
NI JAMBO LENYE KUSHTUSHA. UKWELI WA TUKIO TUNAUSUBIRI. POLE SANA Mheshimiwa .
 
Wakuu hiyo hotel ni bomba mno maana ila dereva mmoja wa boda boda aliniambia ni ya EL. Dada kaamua kujilipa kusherehekea siku ya wanawake wa morogoro
 
Nimeconfirm na kijana mmoja kwenye hiyo hotel ni kweli alilala hapo tangu juzi kwenye chumba cha exctv suite sh 400000 kwa siku tangu jana alirudi usiku kutoka club na dada mweupe mrefu na asbh kaamka kajikuta hana hata chupi katoka na taulo kiunoni!!hawa dada zetu wa club cjui vp amemkomba kila kitu waziri ni aibu Mkuu wa mkoa alienda kuokoa jahazi
Walllahi naenda mtafuta huyo dada mweupe na mie nipate usingizi wa pono.
Akiniibia ?
Aaah yote shukua mutoto!
 
Hakika kama ni mwanaume timilifu hiyo ni michezo ya wanaume wote duniani tatizo langu ni kuwa kwa kuwa viongozi wa Tanzania ni tatizo basi tatizo lolote lenye sura negative litakalo tokea upande wao basi wajue imekula kwao.Kuna movie inaitwa Pretty Woman ya Julia Robert ina sura ya namna hii lakini sema mwisho wake na movie ya waziri wetu hu ni tofauti.

Ila kwa ninavyowajua watawala wetu walivyo hakika vichechede na CD wote wa mji wa moro kasoro bahari wataipata fresh.Nimeipenda kwa vile kuwa itakuwa fundisho kwa viongozi wetu wanaume kama sie walio watawala.Sie tulio kitaa wengine tulishajifunza tunavyomalizana kimtindo nao vichechede na CD kitaani tunajua usawa huu maisha yamepinda mpaka kwa masister zetu hao vipozeo wa stress za maisha viongozi wanayotupindisha nayo yakapelekea nao wakapinda kupitiliza.Kanuni ukikamata kichechede unazuka nacho chobingo unazuga kiana malango kikisha ingia mjengoni unavuta key kikisha ingia korokocho unasunda key mfukoni unaangalia kumuweka sawa akishalainika unachukua pochi yake unaweka funguo kwenye pochi yake au trouser yake mengine yanaendelea.

Na kingine hakuna kunywa kinywaji chochote anachokupa yeye kwa kuwa wanapenda sana kushikilia Red bull mkononi huku ikisha kuwa imemiminiwa dozi ya usingizi pono kwenye kizibo cha kufungulia.

Please watawala msiwatishe madada zetu na kuanza kuwapa vipondo na kuwaweka ndani hiyo aliyokumbana nayo MKUBWA mwenzenu ni CHANGAMOTO kwenu na sio JANGA wajue kuwa huku kitaa ndiyo maisha yetu kiasi kuwa kwetu hilo alilokumbana nalo mheshimiwa sisi mitaani kwetu watu wakisha experiemce miaka saba iliyopita na hivyo tunauzoefu miaka saba iliyopita.

Sio sawa tendo alilotendewa MKUBWA lakini walishajiuliza huyu dada kafikaje hapo mpaka kuwa na dhamila ya kumuibia MKUBWA pasi kujali UKUBWA.Kwa maana nyingine kitaani tunasema WAMEPINDA na hivyo hakuna wala hawana cha KUPOTEXZA by the way.

You made my day! Hawa wadada nimebahatika kuwahoji kwa mida tofauti wakaniambia wao wanaaamini katika mambo mawili ambayo yanaweza kuwatoa kimaisha kutokana na hiyo bizinezi. Moja ampate mtu wenye uwezo ampe mshiko wa kutosha kwa ridhaa yake na pili la kwanza likishindikana basi lazima uibiwe kila kitu.
 
Raha imegeuka kuwa karaha! pole sana mzinzi mwenzangu!
Ningekuwa Adam nikichukua mrembo nahamishia kitanda mlangoni. hakuna mtu kutoka.

Eh bana! ukitaka kuwa player you must play by the rules! Fani zina wenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom