Naibu spika ndugai: Serikali waonesheni wapinzani kuwa nyie sio dhaifu

Stanley.

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
660
298
Mh Naibu spika Ndugai hivi punde akijibu Muongozo ulioombwa na Mh Lukuvi kufuatia maoni ya kambi ya upinzani yanayosomwa mh mchungaji Msigwa ameitaka serikali kuwaonesha wapinzani kuwa wao sio dhaifu. Mh Lukuvi aliomba muongozo kufuatia mfululizo wa maneno serikali ya CCM dhaifu na shutuma dhidi ya mwenyekiti mmoja wa CCM wilaya kuwa ni jangili. Mh Ndugai kasema 'mimi sio sehemu ya serikali lakini nadhani serikali mngewaonesha kidogo kuwa nyie sio dhaifu'. Anaonekana ni kama anaimbia serikali itumie nguvu kwa upinzani..
 
Kwa hiyo wawaweke ndani chadema ili wajue sio dhaifu? ama wapelekwe Mabwepande? ama washughulikie mambo magumu yaliyopo? Kauli ya Ndugai tata sana hiyo
 
Tatizo la swaum huku unawaza kufturu kitimoto. Star tv wanahusikaje kwenye thread hii?
 
Ebwana nadhan kuna tatizo topic ilikaa sawa ndio maana mchangiaji wa kwanza amechangia vizuri. Ghafla topic imebadilishwa title yake.
 
Naomba mods muiweke title ilikuwa hivi. 'NAIBU SPIKA NDUGAI: SERIKALI WAONESHENI WAPINZANI KUWA NYIE SIO DHAIFU' samahani kwa wote kwa usumbufu uliotokea kwa topic hii, mods plz tatueni.
 
Heading ni sahihi lakini maelezo yamekosewa au hayajakamilika!!
Au maelezo ni sahihi lakini heading imekosewa!
 
Back
Top Bottom