Naibu spika na mishahara ya tra, tpa, tanapa, bot

WA MAMNDENII

JF-Expert Member
Jun 5, 2010
344
57
niki-refer mahojiano ya naibu spika ITV kwenye dk 45 alisema maofisa wa kawaida kwenye hizo taasisi nilizotaja wanachukua mzigo mkubwa kuliko mbunge, tunaomba kama kuna mdau kwenye hizo taasisi atupe ukweli hapa JF ili wadanganyika tujue ukweli uko wapi isije kuwa ns anajitetea na taasisi yake na kutupumbaza ili wabongo wasiendelee kuchonga kuhusu posho kubwa za waheshimiwa.
 
Huyu ndugai anafikiri kwa kutumia masaburi anadhani hao tra wanasugua makalio kwenye viti kama yeye.wa2 wanafanyakazi.huyu kumbe nae 0
 
Akatafute kazi huko kama anazo sifa. Kwani kwenye ubunge alilazimishwa na nani?
 
Cha msıngı nı wadau walıotajwa wanaotoka Ofısı zılızotajwa wawe wazı kama nı ukwelı au uongo. Na kama nı uongo ukwelı nı upı?.
 
je ni kweli wanapiga hela? Msizunguke wabongo, wekeni numba sio politike

Ni kweli jamaa wanapiga hela tena hela si mchezo,
Tatizo la viongozi wetu ni kulalamika badala ya kuchukua hatua.
Hapa walitakiwa kufanyia marekebisho sheria inayounda haya mashirika ya umma, kwa kuwa hiyo ndio inayowapa nguvu ya kufanya maamuzi, na kujipangia wakitakacho bila kuingiriwa.

Ukisha kuwa na AUTHORITY basi! Ile bodi itakayoundwa ndio yenye uamuzi wa mwisho.
Kwahiyo ndugu yangu hawa TPA, TRA, TANAPA na mengineyo yanayofanana nayo Yanafanya mambo yao bila kuingiriwa utendaji na serikali kuu.

NB: Mstahafu wa haya mashirika wala hasoti kuangaikia mafao yake, Mwezi huohuo wa mwisho katika utumishi wake anavuta pesa yake yote (Ile slip salary ya mwisho inatoka na mpunga wote) ndio maana vizee vya bandari vikishavuta vinaoa watoto wadogo.
 
Kigogo wa TPA anachukua 15M kwa mwez hyo n gross salary na huwa wanaongezewa bonus accrd to proft walioitengeneza,hvo anaweza kuwa anaingiza 15M net kwa account ake


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨uuuu
 
Back
Top Bottom