Naibu Spika kakosea kifungu gani kumtoa Mnyika nje ya Bunge!

kama raisi si dhaifu basi ni mtu wa dharau na asiyejali hali za wanyonge.
 
Kanuni zina upendeleo!!! Wale wabunge wa ccm waliotukana hadi kuchana bajeti ya upinzani mbona kanuni hazikuwahusu?
 
Ubaya ya hawa Viongozi ni kuwa wanakula kwenye meza ya CCM kwa hivyo wanaogopa but the do not know that it is God who provides. Wote ni wajinga tuu kwenye kikabu ya CCM
 
Back
Top Bottom