Naibu Katibu Mkuu wa UV-CCM Asimamishwa!

Mkubwa Aminiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiaaaaaaaaaaaaaaaa.

Kuna waungwana nafikiri walikuwa wana beep sasa nafikiri umeweza kuwapigia.

Peleche peleche zilikuwa kibao mchana.

Yaaani hii kama umeshona midomo ya watu basi FMES umetumia SHAZIA ya MAGUNIA

Mkuu Kuntakinte,

- Heshima mbele sana mkuu, jana nilipopata hizi dataz nilikuwa nimetingwa sana na shughuli za kumpokea ndugu Mtanzania mwenzangu aliyefiwa na mkewe majuzi, kwa hiyo sikuwa na nafasi ya kufutailia hizi habari ndio maana nikachelewa kuleta follow up, mpaka leo nilipomsafirisha ndugu yangu na watoto wake ndio nikapata nafasi ya kufuatilia hii ishu,

- I mean ninaweza kuelewa kwamba wananchi hawana uhakika wanasubiri more info, lakini ya kujitokeza na kujifanya unajua kumbe hujui kabisaa, that is wasup bro! Yaani kweli ninaweza kupata dataz live za kikao powerful na cha siri kama cha cha cc halafu nikashindwa za UV-CCM wewe huoni kuwa ni a joke?

- Nimesema mara nyingi sana hapa kwamba hatuna mashindano, tunachojaribu kufanya hapa ni kuhabarishana na kuelmishana, sasa the changamoto kwangu hapa ni kama ni worthy kwangu kuchukua risks zote ninazochukua kuleta hizi dataz hapa, kwa kweli ninalipitia hili swali kwa makini sana kabla ya kuamua, I mean this is a war sio kuelemishana tena, swali kwangu ni is it worthy? Na do I want this? I mean hate me na all the stuff I love it, lakini sasa kufikia kuharibu habari muhimu kwa wananchi at large kwa sababu binafsi zako wewe mtu mmoja na wachache wengine, hilo limenitisha sana na nitalifanyia kazi kabla ya kuamua!, for real!

I mean nini maana ya shukrani ya Punda?
 
Kwakweli inasikitisha pale tunapokuwa hatuna info ya uhakika ku-counter chanzo cha habari cha mwingine lakini juu ya kutokuwa na info ya uhakika bado unadiriki kumkashifu mleta taarifa ambaye pamoja na kuleta taarifa bado ameahidi kuleta taarifa zaidi.

Jamani tuwe waungwana,kama mtu una ugomvi binafsi na mtu kwasababu yoyote ile haitoshi kumshambulia bila sababu yoyote katika post yake. Naona hii iko too personal.Tuacheni jamani mambo yanayofanana na ''utoto''.

Pole mkuu FMES,naheshimu sana michango yako mkuu! naomba usiyumbishwe mkulu I for one nauhitaji sana mchango wako hapa JF.
 
FMES,
Shukrani kwa taarifa hizi za vikao nyeti vya CCM. Kubali pia kwamba wapo wanaokuchokonoa tu ili umwage taarifa zaidi. Ni kweli pia yapo mengine unayakosea au unakuwa hauyafahamu vizuri. Tuendelee kuhabarishana na kufahamishana bila ya yeyote humu JF kudhani kwamba bila yeye hili au lile lisingefahamika. Hapa JF ni suala la muda tu ndilo tunalotofautiana sambamba na ujasiri.
 
FMES,
Huna sababu ya kuwakasirikia watu ambao kwao ufisadi unawanufaisha, kwao maisha yao hayawezi kuwepo kama mirija ya Kifisadi itakatwa , hawawezi kusimama peke yao kama Ufisadi utaondolewa, wewe fanya kazi ya wananchi kwani hakuna anayekulipa hapa ila unafanya kwa sababu ya mapenzi yako kwa Taifa na watanzania.

swali ni kwanini huyu Izaack anakanusha?anataka kuwa kwa nguvu?
 
2. Ni kweli pia yapo mengine unayakosea au unakuwa hauyafahamu vizuri.

3. Tuendelee kuhabarishana na kufahamishana bila ya yeyote humu jf kudhani kwamba bila yeye hili au lile lisingefahamika.

- Mkuu wangu wildcard, ahsante kwa huu ushauri wako nimeusikia sana tena loud and clear, sina uhakika kama unahusiana na hii habari, lakini nimeusikia sana mkuu wangu na heshima mbele sana.

Thanxs!
 
- Nimesema mara nyingi sana hapa kwamba hatuna mashindano, tunachojaribu kufanya hapa ni kuhabarishana na kuelmishana, sasa the changamoto kwangu hapa ni kama ni worthy kwangu kuchukua risks zote ninazochukua kuleta hizi dataz hapa, kwa kweli ninalipitia hili swali kwa makini sana kabla ya kuamua, I mean this is a war sio kuelemishana tena, swali kwangu ni is it worthy? Na do I want this? I mean hate me na all the stuff I love it, lakini sasa kufikia kuharibu habari muhimu kwa wananchi at large kwa sababu binafsi zako wewe mtu mmoja na wachache wengine, hilo limenitisha sana na nitalifanyia kazi kabla ya kuamua!, for real!

I mean nini maana ya shukrani ya Punda?

You know what Mkuu FMES, heshima yako utaijenga mwenyewe au kuiharibu mwenyewe na mimi siamini kuwa mtu mwenye akili timamu anaweza kuiharibu ehshima yake. Siamini kwua unaweza kuja hapa na kitu ambacho huna uhakika nacho. Kama wanatokea watu wanadoubt, wanatakiwa kusubiri uthibitisho, wakikosa subira, achana nao kwa sababu you know what you are saying, au siyo?
 
- Mkuu FP, kweli hata wewe mtumzima ninakuheshimu na ninajua kwua una sources kibao hapa bongo, unaweza kukurupuka namna hii? Wewe kweli unaweza kushindana na dataz zangu mkuu unajua ninakozitoa?

- Sasa unaona aibu hii? Niambie tunaendaleaje mbele na mtu tuliyekua tukiheshimiana kama wewe after this? Maana hata ukiomba radhi haiwezi kusaidia what you did ni more than kukurupuka, halafu not from you mkuu? Kama Halisi hajasema kitu kuhusu uongo wa dataz zangu wewe kaaa pembeni mkuuu, maana ni yeye tu mut mmoja mwenye almost the same access kama zangu.

Hii ni aibu sana mkuu, hivi unajua kuwa huyu kijana kila akiulizwa kuhusu maadili amekua akijibu kwa kiburi kwamba aulizwe Nchimbi? Bwa! ha! ha! ha!

Mkuu FMES;

Mie sio mzuri kulumbana. Kamati ya utekelezaji inayo mamlaka ya kumsimamisha Francis, lakini lazima ikubalike kwenye ngazi za juu. Hivyo basi anaweza kurudi tu labda wamjengee zengwe.

Mimi huwa nasubiri maamuzi ya kuthibitisha hilo na kulifanya azimio hilo liwe la kudumu. Ndipo nasema kasimamishwa. Kumbuka ya Nnauye Nape. Ndivyo nilivyolichukulia.

Ukisoma ndani ya maandishi yangu sijakuita muongo au kukebehi maneno yako.

Poa tupo pamoja na si mashindano mkuu kama ulivyosema.

Ni tofauti za tafsiri tu. Na wala sihitaji kuomba msamaha nadhani.

Pamoja.
 
1.
Kidumu chama cha mapinduzi.

Francis hajasimamishwa wala kufukuzwa mpaka sasa hivi ninapoandika.

Habari ndio hiyo!

2.
Quote: Fairplayer

Hapana Mheshmiwa Uwiano maalum,

Siwezi kumuita mleta habari muongo. Nadhani tu chanzo chake sio cha uhakika au chanzo chake cha habari kiliteleza. Kuna mushkeli kweli lakini sio kusimamishwa. Hayo ya kusimamishwa yanaweza kufuatia baadaye na vikao husika.

3.
Quote: Fairplayer

Mkuu FMES;

Mie sio mzuri kulumbana. Kamati ya utekelezaji inayo mamlaka ya kumsimamisha Francis, lakini lazima ikubalike kwenye ngazi za juu. Hivyo basi anaweza kurudi tu labda wamjengee zengwe.

Mimi huwa nasubiri maamuzi ya kuthibitisha hilo na kulifanya azimio hilo liwe la kudumu. Ndipo nasema kasimamishwa. Kumbuka ya Nnauye Nape. Ndivyo nilivyolichukulia.

Ukisoma ndani ya maandishi yangu sijakuita muongo au kukebehi maneno yako.

Poa tupo pamoja na si mashindano mkuu kama ulivyosema.

Ni tofauti za tafsiri tu. Na wala sihitaji kuomba msamaha nadhani.

Pamoja.

Mkuu Fairplayer

- Yote hapo ni maneno yako wewe mwenyewe, so it is up to you., Na binafsi nimeusikia huu utetezi wako uliobobea na ni very convincing. Bwa! ha! ha! ha!

Thanxs!
 
Last edited by a moderator:
- The sagga continues na more dataz

- Sasa the war ni kati ya Hussein Bache/Fransic Vs Beno/Ridhiwan. na mengi ya aibu yametokea leo.

- Sasa hivi kikao kinaendelea kati ya Masauni, Beno, na Ridhiwani. Soon kutakuwa na Pres. Conference.

- Kikwete anataka siku 14 kutaja katibu mkuu mpya.
 
Kaimu Katibu Mkuu nafikiri na pia kaimu naibu katibu mkuu,hivi katibu mkuu wao alienda wapi hilo ndiyo swali nililonalo! Kwasababu Amos Makala alikuwa Naibu Katibu mkuu kabla ya kuteuliwa kuwa Katibu wa NEC Uchumi na Fedha (Mwekahazina wa Chama) nafasi yake ikachukuliwa na huyu Frank Isaack. lakini wakati huo huo Amos Makala alikuwa kaimu katibu mkuu kwahiyo kijana alibeba vyeo vyote viwili cha kaimu naibu katibu mkuu na kaimu katibu mkuu.

Mtanisahihisha wakuu! lakini kuna watu wanachokonoa mambo duuuh! Heshima mbele mkuu Mwanakijiji.
 
Full kuchanganyana,full vurugu
 
- Alikuwa naibu katibu mkuu, kwa sababu kwa sasa UV-CCM hawana katibu mkuu, huyu bwana alikuwa akikaimu ukatibu mkuu, huku akitumia ofisi ya katibu mkuu.

Kama ndiyo hivyo (kwa sababu kwa sasa UV-CCM hawana katibu mkuu), basi alikuwa Kaimu Katibu Mkuu .... kaimu ni mtu anayekuwa madarakani wakati mwenye cheo hayupo; wakati Naibu huwa ni cheo kilichopo kwenye organization chart (kaimu hakipo).
 
Kaimu Katibu Mkuu nafikiri na pia kaimu naibu katibu mkuu,hivi katibu mkuu wao alienda wapi hilo ndiyo swali nililonalo! Kwasababu Amos Makala alikuwa Naibu Katibu mkuu kabla ya kuteuliwa kuwa Katibu wa NEC Uchumi na Fedha (Mwekahazina wa Chama) nafasi yake ikachukuliwa na huyu Frank Isaack. lakini wakati huo huo Amos Makala alikuwa kaimu katibu mkuu kwahiyo kijana alibeba vyeo vyote viwili cha kaimu naibu katibu mkuu na kaimu katibu mkuu.

Mtanisahihisha wakuu! lakini kuna watu wanachokonoa mambo duuuh! Heshima mbele mkuu Mwanakijiji.

Mkuu, thanks, but i think am more confused kwa huu ufafanuzi..hivi mbona wala sipaelewi hapo?
 
Back
Top Bottom