Naibu amiri wa jumuiya ya uamsho awasili Zanzibar akitokea Oman

Mkuu hawa watu ni wanafiki kweli,hivi nani anawashinda wa Zenji kwa kunywa gongo?au kwa vile haiuzwi baa ya wazi kwao sio dhambi? Hiyo kitimoto ndio usiseme,inafakamiwa sie mchezo hata maini yake yanapikwa rosti.kama huamini uliza wauzaji wa KM jee mauzo yakoje wakati wa mfungo?utaambiwa yanashuka kwa 4o%.
Umalaya sio kuvaa mini skate,hata kwenye baibui ndio usiseme.
Hoja zao za kibaguzi hazina mshiko kabisa.
BTW deni la Tanesco wameshalipa? Maana ni upuuzi kumbagua anayetoka jasho kukutunza.

Pia akina dada wengi wa z'bar wanaliwa tigo ili kutunza bikira, na pia mashoga ni wengi sana huko, wanaona dhambi ni makanisa tu.
 
my take: hizi dini kiukweli zimesababisha matatizo mengi sana sijui wenzangu mnaonaje?
 
kam huyu shehe ndiye muazilishi na ndiye mfadhili basi sheria ichukue mkondo wake na asiachiwe maana huu ni upuuzi mbingu gani na kitabu gani cha dini kinachosema uue wenzaio ilifike ahela nao ni upungufu wa maadili na utii mbele za mwenyezi Mungu.

Mpaka sasa hakuna ushahidi kuwa yeye ndo mfadhili, kuijua jumuia hiyo bonyeza hapa Kuhusu Uamsho « Uamsho Zanzibar au katika page yao ya facebook Jumuiya Ya Uamsho na Mihadhara Ya Kiislamu Zanzibar | Facebook

Halafu kuhusu habari kuwa amedakwa ni uzushi..
Azan alirudi na kuhudhruria mkutano uloitishwa na Uamsho na katika hotuba yake alisema hivi
"wazanzibari wamegawanywa kiwa muda mrefu na katika hili ilitokea khitilafu na baadhi na watu kuchukua nafasi ya kutaka kuwagawa tena jambo ambalo alisema wameweza kulirekebisha.

"Wakati wenzetu watanganyika wanaendeleza nchi yao sisi tunagombanishwa lakini tunasema kwa sasa hamtugawi tena na tumeshawafahamu " alisema na kusisitiza suala la umoja na mshikamano kati ya serikali na taasisi hizo za kidini.

Alisema taasisi hizo zina imani kubwa sana na Rais wao Dk Shein na Rais Kikwete lakini wanaamini kwamba kauli walizotoa wamezitoa kutokana na kupotoshwa na watendaji wao lakini wakaahidi kuwa na mashirikiano mema na viongozi wao kwani nia ni kuweka amani na utulivu katika nchi."
 
Back
Top Bottom