Naibu amiri wa jumuiya ya uamsho awasili Zanzibar akitokea Oman

Katika mwaka 1968 Hakimu Seaton, Hakimu wa Mahakama Kuu; alitembelea gereza la Mwanza.
Nilimuuliza kama kuna uhalali wowote juu ya kuwekwa kwetu kizuizini.

Mkuu wa gereza akamwambia Hakimu kuwa hakuna karatasi zozote zilizoletwa pamoja na mawaziri wa zamani wa Zanzibar.

Hakimu akaahidi kulifuatilia suala hili. Baada ya miaka minne tangu wakati huo, nikiwa katika gereza la Bukoba, Katibu wa Mkuu wa Mkoa alitoa shauri kuwa nimuombe Raisi anitoe kizuizini.

Nalimwambia kuwa kwa vile sijui nini kosa langu la kuwekewa kizuizini naona sina hoja za kimsingi juu ya ombi langu.

Alinijibu, "Hapana shaka ulipotiwa kizuizini ulisomewa amri ya kutiliwa kizuizini."

Nilimwambia kuwa, vile ninavyo kumbuka mimi hapakuwepo amri ya mimi kutiwa kizuizini.
Suprintendent wa magereza akanambia kuwa ilikuwepo amri, hapo akanisomea hio amri ambayo ikionesha kuwa inatokana na Raisi na ambayo imeandikwa kwa lugha ya kisharia.

Amri hio inasema kuwa Raisi baada ya kutoshelezeka kuwa, fulani na fulani; akiwataja mawaziri wote wa Serikali ya Muhammad Shamte, kuwa walikhusika na vitendo vya uchochezi wa kukhatarisha salama ya nchi, alitoa amri tutiwe kizuizini.

Nalipomuuliza amri hio ilitiwa sahihi lini, ilidhihiri ilikuwa ni mwaka wa 1968, baada ya muda mchache tangu pale nionane na yule Jaji Mkuu, Seaton kwenye gereza la Mwanza!

Sisi tulivamiwa nchi yetu na kutiwa vizuizini katika mwaka wa 1964. Najuwa kulikuwa na mapinduzi (mavamizi) huko Zanzibar, na hicho kitendo cha kiharamia iwe kimetokea huko.

Lakini tangu kati ya mwaka wa 1964 pale tulipotiwa vizuizini mpaka hii 1968 ambapo hii amri ya kutiwa kizuizini kutolewa na kutiwa sahihi; wakati huo wote - miaka minne - kuwekwa kwetu kizuizini na yeye Raisi Nyerere ambae ndie aliekuwa na hukumu yote huko Tanzania bara basi hakukuwa kisharia hata katika hio sharia ya kidhalimu ya Tanzania.

Kwa muda wa miaka minne kabla ya kutiwa sahihi hii amri ya kuwekwa vizuizini sisi tulikuwa basi ni wafungwa wake yeye Nyerere.

Je, ndio inayumkinika katika muda huo iwe yeyote miongoni mwetu sisi tuweze kufanya vitendo vya uchochezi wa kukhatarisha salama ya taifa?

Tujaalie kuwa inakusudiwa ule muda kabla ya kukamatwa na kutiwa kizuizini.

Wakati huo sisi tulikuwa ni mawaziri wenye mas-ulia kwa vile tulichaguliwa kulingana na sharia ya kikatiba iliokuwepo nchini - Zanzibar - wakati huo.

Je, sisi wakati huo tutaweza kuwa tutende kama vile ilivyoelezwa katika hio amri iliotiwa sahihi na Julius Nyerere?

Kama itakavyokuwa, hilo taifa linalo elezwa kuwa ni Tanzania; halikuwepo kabla ya sisi kukamatwa na kutiwa vizuizini.

Huyo ndio mkuu wa nchi, anaejigamba kuwa yeye ni mwenye kuweka haqi, anafika kuzuwa na kupanga uwongo kama huo; ni jambo la kushangaza sana; lakini kwa watu kama yeye sio ajabu kulitenda.

Baada ya kupata hoja hizi ndipo nilipomwandikia Raisi, bila shaka maandishi yangu yalikuwa ni ya upole na kweli za hakika.

Sikupata majibu. Kwa hakika sikupata hata mara moja jawabu au hata kuarifiwa kuwa zimefika, baruwa zangu kadhaa wa kadhaa nilizompelekea Nyerere, tangu niko kizuizini na hata baada ya kutoka. Utaritibu wa hishima kama hio Tanzania inaonekana ni mpango wa kikoloni uliokwisha pitwa na wakati.

Dr. Kleru alikuwa ni Mkuu wa Mkoa aliepigwa risasi na mkulima, Abdulla Saidi Mwamindi; siku ya krismasi mwaka 1971. Mkulima huyu, Abdulla Saidi, alikuwa ni miongoni mwa watu kadhaa wa kadhaa walionyang'anywa mashamba yao kwa kuwanzishia vile vijiji vya ujamaa. Jeuri ya Mkuu wa Mkoa huyu ilifurutu ada.

Waliokuwa wakiteswa na kudhulumiwa na Mkuu wa Mkoa huyu walishitaki kwa wakuu wa chama.
Kila wakishitaki huambiwa wakashitaki polisi; na wakifanya hivyo.

Kamanda wa Polisi, Abubakar aliwaonya wakuu huko Dar es Salaam juu ya vitendo viovu na vya kuudhi vya Mkuu wa Mkoa huyu na juu ya ile tabia yake ya ulevi kufika kuanguka na kuingiliwa na wahuni.

Baada ya kupigwa marisasi na kuuliwa, wale jamaa wote waliokuwa wakipeleka mashtaka yao Polisi walikamatwa na kuwekwa kizuizini mpaka Abdulla Saidi Mwamindi ahukumiwe na kunyongwa. Hata kabla ya kesi kumalizika, magazeti na vyombo vyote vya khabari vya Serikali na vya Chama, vyote vilianza shutuma zao, sio tu dhidi ya Mwamindi, bali dhidi ya wakulima wote, huku wakisemwa, "mabepari", "wanyonyaji", "wakoloni" na makhaini".

Mudhahara uliopangwa na Sirikali ukaingia njiani kupita kuwashutumu na kuwalaani watu hawa. Kwa hali hii ikawa Mwamindi kesha hukumiwa na vibaraka vya Sirikali hata kabla ya kufikishwa mahakamani.

Mashahidi wote wale ambao wangeliweza kutowa ushahidi japo kuthibitisha juu ya vitendo vya uchokozi vya yule Mkuu wa Mkoa walizuiliwa mpaka pale kesi kumalizika.

Khatuwa hii ilikusudiwa kumtia khofu yeyote yule aliekuwa na fikra ya kutaka kutowa ushahidi upande wa mshitakiwa.

Hivi ndivyo sharia inavyo firigiswa katika nchi kama hivi Tanzania wakati ambapo sharia ya kumtia mtu kizuizini bila ya kupelekwa mahakama inatumika.

Watu kumi na mbili wa Iringa pamoja na yeye Mwamindi mwenyewe walikuwa pamoja na mimi gerezani Dodoma.
Kamanda wa Polisi Abubakar, na yeye vilevile aliwekwa na sisi siku mbili gerezani akiwa yumo katika pirika za kuhamishwa kutoka gereza hii na kupelekwa gereza jengine.

Ilani nyingi zilitolewa na kutangazwa ulimwenguni juu ya maafa na mateso katika magereza ya Zanzibar na Pemba.

Lakini hapana lililosemwa na kuelezwa walimwengu kukhusu mateso yanayowapata wazuiwa katika magereza ya Tanzania bara.

Sio kuwa uwovu na mateso wanayotendewa wazuiwa magerezani huko Tanzania bara hayajuulikani; mengi yake hayafiki ulimwenguni basi kwa sababu ya kukosekana demokrasia na heshima ya haki za binadamu juu ya haki ya kueleza na kujieleza.

Kutokana na hali hii, mateso na vitendo vya kikhabithi havielezwi nje kwa walimwengu kukhofia hao watakaoeleza kuadhibiwa na utawala wa kidikteta. Niliona kwa macho yangu nilipokuwa gereza la Mwanza, wakati ambapo Superintendent Odenyo ndie aliekuwa mkuu wa gereza wakati huo; niliona wafungwa walipozuiliwa chakula na maji kwa muda wa siku nne, kisha wakapelekwa hospitali (nusu maiti) na ripoti kuwa (ati) walikuwa wamegoma kula.

Nilipokuwa Dodoma nilikuwa nikisikia kadhia kama hizo.
Nikisikia, kwani baina yetu ilikuwa ni kuta, baina ya chumba niliokuwemo na vile vyumba vya mateso.

Katika gereza la Dodoma aliekuwa katili hivyo ni Ofisa Mkuu, aliepangwa jina "Iron Face" (Uso wa Chuma), kwa vile akijuulika kuwa hajapata kuwa na huruma.

Mkuu wa magereza hapa, alifika kuwa hajishughulishi tena na kazi yake; hivi ni kwa sababu kwa hichi cheo chake cha juu na daima kuwemo katika vikao na sherehe za kisiyasa, takribani alimuachilia uendeshaji wote wa gereza mikononi mwa msaidizi wake - huyu Ofisa Mkuu. Mabwana wawili hawa waliyafanya maisha ya gerezani hapa hayastahamiliki hata kidogo.

Ile mikutano ya kawaida ya kila Jumamosi ambapo ofisa mas-uli hutarajiwa asikilize malalamiko ya wafungwa ikawa haifanywi tena.

Ziara za kila mwezi gerezani za Mahakimu mbalimbali nazo pia zikasita. Wafungwa hutiwa gerezani na kufika kutolewa bila ya kujuwa kuwa wanahaki ya kuwasiliana na watu wao.

Inafaa ifahamike kuwa hivi kuharibika hali kiwango hichi, sio tu katika gereza la Dodoma. Niliiona hali kama hiyo katika gereza la Mwanza.

Gereza la Bukoba ilikuwa haijambo pale nilipoondoka.
Lakini, wakuu wa kisiasa; kama vile Mkuu wa Mkoa na Mawaziri dhahiri shaahir walikuwa wakijiepusha kuyazuru magereza na kujuwa hali za wafungwa na wazuiwa waliomo humo magerezani.

Ama Raisi na Makamu wa Raisi, si dhani kama iko siku wamewahi kuzuru gereza lolote lile katika Tanzania bara, licha kuzungumza na mabwana au mabibi waliowatia humo magerezani.

Hali katika gereza la Dodoma ilizidi kufanywa kuwa mbaya kwa ukhabithi wa huyu "Uso wa Chuma" na kulemaa kwa ulevi wa marungi Msaidizi wa Superintendent.

Mpango ulifanywa kumuuwa "Uso wa Chuma". Mmoja wa wafungwa aliweza kupata kisu na akataka kumpiga nacho huyo "Uso wa Chuma", kwa bahati akaanguka kifudifudi, kichwa chake mbali na yule mfungwa ambae alikuwa na pingu za chuma miguuni mwake na yeye vilevile akaanguka upande wake.

Wakati huo mfungwa aliweza basi kuipata miguu ya "Uso wa Chuma" na kuanza kumpiga visu vya miguuni mpaka pale ilipowezekana kuzidiwa nguvu akanyang'anywa hicho kisu.

Hapo tena akaingiliwa mfungwa huyo kupigwa marungu mpaka akawahijiwezi ndipo alipotiwa pingu za mikono. Askari wa gereza akaamrishwa kumpiga marisasi ya miguu.

Hivyo ikawa kafungwa kila upande na marisasi miguuni mwake, hapo tena akasukumizwa katika chumba cha adhabu.
Baadae kidogo msaidizi wa superintendent akaja na yeye akaanza kumpiga vile alivyopenda.

Vilio vyake tukivisikia kutokea katika hicho chumba cha adhabu alimokuwemo na tukamuona askari aliekuwa zamu kwenye kidungu akigeuza uso na kupiga ukelele: "Wanamuuwa huyu mtu!" Binadamu huyu akavurumishwa tena humo chumbani kisha bomu la kutowa machozi likatupwa katika hicho chumba ambacho sehemu yake ya kupitia upepo ni ndogo kabisa. Usiku uleule akajifia.

Asubuhi yake wafungwa wote wakasimamishwa kwenye uwanja na maiti ikaletwa mbele yao uchi kama alivyozaliwa. Hapo tena msaidizi wa superintendent akawa anamchocha maiti kwa gongo huku akimwambia yule maiti: "Inuka uwaambie wenzio vipi ulivyokuwa hodari, na nini mwisho wa uhodari wako?"

Baada ya hivyo tena akawahutubia wafungwa kwa kuwaambia kuwa hivihivi ndivyo tutakavyomfanya yeyote yule miongoni mwenu asiposhika adabu yake.
Hapo tena wafungwa wote wakafungiwa vyumbani mwao kisha mabomu ya kutowa machozi yakatupwa humo vyumbani mwao.

Haya yalifanywa kwa makusudio ya kuwataka watajane wale waliokhusika na mpango huu. Haukupita muda isipokuwa wengi wakatajana na kukiri makosa yao.

Lakini adhabu na mateso yaliendelea kwa wiki kadhaa wa kadhaa. Chakula kikapunguzwa, hata kwetu sisi wazuiwa. Kila mtu alitaraji mauwaji haya yatafanyiwa uchunguzi na hukumu ya haki kupitishwa. Askari wa gereza ikawa wanasema hadharani kuwa ukifanywa uchunguzi watawaambia askari Polisi hakika ya mambo ilivyo. Lakini hapana lilokuwa.

Tulisikia katika redio, kama maneno ya kupita tu yaliosemwa Bungeni - kwa woga - na mmoja wa Wabunge kuwa kulikuwa na askari makhabithi walio waadhibisha wafungwa mpaka kufika kuwauwa.

Kubwa lililotokea ni uhamisho wa kawaida wa maofisa wa magereza wa vyeo vya juu kutoka magereza mbali mbali nchini. Khabari ikamalizikia hapo.

Katika nchi yenye sheria ya kutiwa watu vizuizini bila ya kupelekwa mahakamani, kelele zozote zile ni sawa na mbwa mwenye kubweka hazina athari yoyote ile, na sharia basi ni kwa kumtumikia bwana mtawala aendelee katika utawala wake na atende vile anavyopenda.

Maelezo marefu yaliyopangwa vibaya lakini niseme kwamba kwa wakati huo na mambo yalivyokua ilikua nilazima nchi kuendeshwa hivyo lasivyo tusingekuwa hapa tulipo angalia nchi nyingi za kiafrica zilipata matatizo wakati huo kutokana nakuishi na kuendesha nchi kwa haki na demoklasia wakiti ambao haukuwa wake kunawengine waliteseka bila kosa lakini ilikuwa lazima iwe hivyo ili amani utulivu vitawale
 
Kumekuwa na mipango ya makusudi liliyoandaliwa na Makanisa wakishirikana na Viongozi mafisadi kujaza Makanisa Zanzibar na kuhodhi ardhi ya Wazanzibari,

Makanisa hayo yamejazana kama uyoga yakfuatiwa na Migahawa ya nyama ya Kiti moto, baa na umalay uliokithiri mitaani

Zaidi ya 98% ya WaZanzibari ni Waislam, ukuwaji wa makanisa hauwiani kabisa na idadi ya wakiristo wahamiaji waliopandikizwa kwa ajili ya kuaribu mila na dasturi za Wazanzibar

Kama Wazanzibari hamtokuwa makini, basi mtakuwa kama Wapalestina walivyo porwa ardhi yao na Waizraili

wakristo walipotoa taarifa yao rasmi kupitia skofu mokiwa alidai.. ati moja ya faida ya muungano ni kutangaza injili.. na kujenga makanisa ... hehe! mokiwa ni kiazi sijapata kuona.. utasambazaje injili kwenye kundi la waislam ambao hawataki hata kusikia ukristo nini..? na mnawajengea makanisa .. ni upumbavu...
 
mdau lakini hivi karibuni SMZ imeonesha ina uhusiano wa karibu na israel,siju taarif hizo unazo????na watoto wenye matatizo ya moyo walipelekwa Israel kwa matibabu,baloz seif ali eid waz there,unalijua hilo???Israel wanataka kuisaidia zenj kwenye kilimo unalijua hilo,,,,,????hapo wabara wanahusika????
 
Kumekuwa na mipango ya makusudi liliyoandaliwa na Makanisa wakishirikana na Viongozi mafisadi kujaza Makanisa Zanzibar na kuhodhi ardhi ya Wazanzibari,

Makanisa hayo yamejazana kama uyoga yakfuatiwa na Migahawa ya nyama ya Kiti moto, baa na umalay uliokithiri mitaani

Zaidi ya 98% ya WaZanzibari ni Waislam, ukuwaji wa makanisa hauwiani kabisa na idadi ya wakiristo wahamiaji waliopandikizwa kwa ajili ya kuaribu mila na dasturi za Wazanzibar

Kama Wazanzibari hamtokuwa makini, basi mtakuwa kama Wapalestina walivyo porwa ardhi yao na Waizraili

Kweli tumewafundisha tabia mbaya sana maana mnavyokipiga kiti moto siku hizi ni balaa mwatushinda hata sie wakongwe
 
Watanganyika na Wazanzibar tumeshindwa mtihani mdogo kabisa wa maamuzi "ya kaisali aachiwe kaisali CCM,CDM,CUF nk"
na ya Mungu aachiwe Mungu
 
Kumekuwa na mipango ya makusudi liliyoandaliwa na Makanisa wakishirikana na Viongozi mafisadi kujaza Makanisa Zanzibar na kuhodhi ardhi ya Wazanzibari,

Makanisa hayo yamejazana kama uyoga yakfuatiwa na Migahawa ya nyama ya Kiti moto, baa na umalay uliokithiri mitaani

Zaidi ya 98% ya WaZanzibari ni Waislam, ukuwaji wa makanisa hauwiani kabisa na idadi ya wakiristo wahamiaji waliopandikizwa kwa ajili ya kuaribu mila na dasturi za Wazanzibar

Kama Wazanzibari hamtokuwa makini, basi mtakuwa kama Wapalestina walivyo porwa ardhi yao na Waizraili
Kweli hizi ni fikra za Bull
 
Tembelea baa uone wauzaji wengi kama siyo kina Asha, Hadija nk na wanywaji wengi kama siyo kina Mohamed, Abdallah nk
 
Wazanzibar mna mambo..........haya wacha tuone KELELE ZA MUUNGANO ZITAISHIA WAPI,ILA NI KELELE ZA MWENDAWAZIMU HIZI
 
wakristo walipotoa taarifa yao rasmi kupitia skofu mokiwa alidai.. ati moja ya faida ya muungano ni kutangaza injili.. na kujenga makanisa ... hehe! mokiwa ni kiazi sijapata kuona.. utasambazaje injili kwenye kundi la waislam ambao hawataki hata kusikia ukristo nini..? na mnawajengea makanisa .. ni upumbavu...
Waislam wanatakiwa kulishwa neno la injili ili waweze kuingia katika ufalme wa mbingu! Hivyo kuwajengea makanisa ni hatua katika kuwakomboa kutoka lindi la dhambi!
 
Waislam wanatakiwa kulishwa neno la injili ili waweze kuingia katika ufalme wa mbingu! Hivyo kuwajengea makanisa ni hatua katika kuwakomboa kutoka lindi la dhambi!

eti eeeeeeenh,yako wapi makao makuu yake????
 
Kumekuwa na mipango ya makusudi liliyoandaliwa na Makanisa wakishirikana na Viongozi mafisadi kujaza Makanisa Zanzibar na kuhodhi ardhi ya Wazanzibari,

Makanisa hayo yamejazana kama uyoga yakfuatiwa na Migahawa ya nyama ya Kiti moto, baa na umalay uliokithiri mitaani

Zaidi ya 98% ya WaZanzibari ni Waislam, ukuwaji wa makanisa hauwiani kabisa na idadi ya wakiristo wahamiaji waliopandikizwa kwa ajili ya kuaribu mila na dasturi za Wazanzibar

Kama Wazanzibari hamtokuwa makini, basi mtakuwa kama Wapalestina walivyo porwa ardhi yao na Waizraili

..ami..! mbona unatoa maonyo kama vile wazanzibar ni wa karne ya saba, wasiosoma wala kujua ukweli wa mabadiliko yanayotokea duniani...kama vile kuweko kwa makanisa mengi kutapelekea wazanzibar wengi wawe makristu, na baa na sehemu nyingi za kiti moto kupelekea wazanzibar wengi kujihusisha navyo...kwamba weye ni masiya sasa mwenye ujumbe mpya wa wokovu kwa wazanzibar...! aah, taratibu yakheee!
 
Inferiority Complexion.

Siku zote mtu duni humuogopa mgeni kwa kutambua kuwa uduni wake utamfanya apoteze alichonacho.

Unazungumzia umalaya kama kitu kigeni ambacho kinaletwa na wanaotoka bara...unachekesha sana wewe. Kaa hapo Hotel inayoitwa Adams Inn halafu angalia chini huku Malindi Guest House mida ya asubuhi kisha uniambie wale ni Wabara?

Mimi nimewahi kuona watu wakiendekeza ngono lkn hii ya ZNZ ni mpya kwa watu kuingia Gesti saa 2 asubuhi na vitoto vidogo sawa na binti zao. Mibaibui mnayojifunga ni kuficha sura zenu ili msibainike mnapoingia gesti.

Huku upande wa Makumbusho niliona wanaume wanajiuza kama wanawake na polisi wako nao kama wanachofanya ni sawa. Je, na huu utaratibu wa kuingiliana wanaume kwa wanaume nao umetoka bara? Au ndio ustaarabu wenu mnaoogopa utapotea endapo wageni watakuja?

Kinachokufanya uogope kanisa ni nini? Kama unaamini watu ni waislamu kwa hiari yao basi acha makanisa yajengwe, si yatakuwa tupu kwa kukosa waumini au shida yako nini?

Hivi kitimoto kama huli unakiogopea nini? Wasiwasi ni kwamba dini yenu watu wapo kwa kulazimishwa. Unajua kuwa kukitokea second option watu watahamia huko na ndio maana mnapinga kwa vurugu. Just preach yours kama kweli mnajiamini, nini vurugu?
Ndugu yangu nashukuru kwa kumuelewesha jamaa yetu vizuri saana, hapo Zanzibari tunazungumzia serikali ya muungano ambapo wabara na wazanzibari tunakaa pamoja!!! Wawe waislamu wawe wakristo tunaishi kwenye miji yetu pamoja kwa amani, mbona Wazanzibari kibao wanafanya biashara bara bila bughuza!! Swala la dini linapandikizwa na wageni wanaotamani kutawala kisiwa cha Zanzibari na ni wale wale Masultani toka Arabuni na wafadhilina wa dini ya Kiislam ambayo haitakuwa na faida kwa Wazanzibari wenzetu!! Yahitajika tukae chini wote wabara na wazanzibari hasa kipindi hiki cha kuwa na katiba mpya, tuongelee muungano badala ya fujo na ghasia kuleta chuki na visasi, tuna undugu wa damu na Zanzibari na Tanzania bara si rahisi kutengana.
Hayo ni maoni yangu!! Tafakari!!

Non sense acha kuingilia imani za watu .makanisa hayawezi kujengwa bila kuwepo waumini You have to face challenges this is a new world.Watu wanaishi kulingana na mahitaji
 
Kumekuwa na mipango ya makusudi liliyoandaliwa na Makanisa wakishirikana na Viongozi mafisadi kujaza Makanisa Zanzibar na kuhodhi ardhi ya Wazanzibari,

Makanisa hayo yamejazana kama uyoga yakfuatiwa na Migahawa ya nyama ya Kiti moto, baa na umalay uliokithiri mitaani

Zaidi ya 98% ya WaZanzibari ni Waislam, ukuwaji wa makanisa hauwiani kabisa na idadi ya wakiristo wahamiaji waliopandikizwa kwa ajili ya kuaribu mila na dasturi za Wazanzibar

Kama Wazanzibari hamtokuwa makini, basi mtakuwa kama Wapalestina walivyo porwa ardhi yao na Waizraili

Kwani nyinyi wazanzibar asili yenu wapi? Asili ya wazanzbar ni UARABUNI au TANGANYIKA? Hao wahamiaji toka BARA si ni ndugu zenu? Kwahiyo ni nani anawapora ARDHI? UBINAFSI umewaponza hamuwataki tena ndugu zenu wa asili yenu?

Sema tu sisi wengine hatujui tunza kumbukumbu za vizazi kama JEWS, hao mnaowakataa unakuja kuta ni ndugu yako wa damu wa kizazi hata cha 5 tu, au kwa vile leo kabadili dini amekuwa mkristo ndio humtaki tena??!!
 
kumbe kuna imani nyingine za dini zinapora akili ya mtu?
ndo maana wachawi wanaloga mvua isiwanyeshee bila kujua madhara ya kuizuia inawaumiza hata wao badala ya kutumia miavuli.
 
Kumekuwa na mipango ya makusudi liliyoandaliwa na Makanisa wakishirikana na Viongozi mafisadi kujaza Makanisa Zanzibar na kuhodhi ardhi ya Wazanzibari,

Makanisa hayo yamejazana kama uyoga yakfuatiwa na Migahawa ya nyama ya Kiti moto, baa na umalay uliokithiri mitaani

Zaidi ya 98% ya WaZanzibari ni Waislam, ukuwaji wa makanisa hauwiani kabisa na idadi ya wakiristo wahamiaji waliopandikizwa kwa ajili ya kuaribu mila na dasturi za Wazanzibar

Kama Wazanzibari hamtokuwa makini, basi mtakuwa kama Wapalestina walivyo porwa ardhi yao na Waizraili

Kipi kibaya kama hapo juu nyekundu, au ufirauni? mbona hilo hujaliweka au kwa sababu linapendeka basi lenyewe siyo baya? wacha mambo ya kidini,
 
Sijakupata kabisa! Inamaana makanisa ni mengi lakini hayana waumini? Na kama ni mengi lakini yanajaza waumini kwani kuna ubaya gani hapo? ACHA UDINI MKUU NA ZANZIBAR siyo IRAN
 
Lakini zanzibar si sehemu ya tanzania sasa inakuwaje mseme watu wa bara wamepandikizwa na nani kakuambia malaya ni wakristo tu au ndo dhihaka zenyewe hizo.

hapana zanzibar sio sehemu ya tanzania. Zanzibar ni nchi haiwezekani ktk zanzibar kuwe na makanisa karibu nusu ya miskiti yote wakati wa wakristo wenyewe ni wageni zanzibar tena idadi yao ni ndogo unakuta kanisa lenye kubeba watu 1000 unakuta waumini 50 maana yake nini na wao ndio wenye kwenda uchi na wanaotuletea ukimwi hatuutaki muungano
 
Kipi kibaya kama hapo juu nyekundu, au ufirauni? mbona hilo hujaliweka au kwa sababu linapendeka basi lenyewe siyo baya? wacha mambo ya kidini,
Mkuu hawa watu ni wanafiki kweli,hivi nani anawashinda wa Zenji kwa kunywa gongo?au kwa vile haiuzwi baa ya wazi kwao sio dhambi? Hiyo kitimoto ndio usiseme,inafakamiwa sie mchezo hata maini yake yanapikwa rosti.kama huamini uliza wauzaji wa KM jee mauzo yakoje wakati wa mfungo?utaambiwa yanashuka kwa 4o%.
Umalaya sio kuvaa mini skate,hata kwenye baibui ndio usiseme.
Hoja zao za kibaguzi hazina mshiko kabisa.
BTW deni la Tanesco wameshalipa? Maana ni upuuzi kumbagua anayetoka jasho kukutunza.
 
Back
Top Bottom