Nahodha na majina ya walarushwa uhamiaji - achukua hatua!

Director: Umenena ila naskia alichukua hatua Nchini kwake kwakuhamisha wapale Airport kwao,Sijui huku Kwetu maana kaona hao 8,Kwa faida ya maslahi ya Nchi angeachana na hayo majina ambayo ukiangalia ni ya kinafkitu aondoe wote wanao jiita makamishana na Manaibu wao ambao niwengi zaidi ya makamisha wote kwa majeshi yanayo julikana hapa Tz
 
Back
Top Bottom