Nahodha atangaza uamuzi mgumu

That can not materialize in a corrupt state like Tanzania where people are appointed due to their closeness to higher authority. Nahodha decision might be genuine in itself but it is likely to be hampered by bosses senior to him.
because those bosses senior to him are owners of those transport facilities!
 
Labda waagize kile kipima ulevi kinachofungwa ndani ya gari DUI (Driving Under Ifluence), ambacho kinaakisi kiwango cha alcohol alichonacho driver, na kama kiwango kimepita wastani kitapiga kelele na abiria watasikia kulazimisha dereva asitishe kuendesha gari kwa ajili ya usalama. Nchi zilizoendelea kama Marekani, dereva ye yote akishapatikana na kosa la DUI onyo la kwanza ni kufungia kifaa hicho, na ikitokea tena kuendesha akiwa under influence basi atafungiwa kabisa. Hii sheria iko kwenye baadhi ya state na karibu nchi nzima itafuata mfumo huo.

Mkuu,
hivi kuna nchi inayoruhusu mtu mlevi aendeshe kitu chochote chenye motor??
 
2+(2).jpg


Mambo haya tumeyaongelea mara nyingi tu lakini tunachoshuhudia ni kwa viongozi wa kitaifa kupigia kampeni ya kuhamasisha ulevi wao wenyewe wakishiriki hadharani kama hawana akili timamu vile.

Shamsha awanyoshee kidole hawa viongozi waandamizi serikalini wanaokunywa na kumahasisha ulevi ndipo kauli yake itasikika vizuri kwa wananchi wa kawaida.

Wameshindwa kutatua matatizo yao sasa wanajionesha kuwa na wao kama wao kwa kuungana nao kunywa pombe zao kwa ajili ya Photo OP. USANII AT ITS BEST
 
Waziri naodha aliongea ili kuwaongezea ulaji matrafiki. Mkoa wa kgoma una trafic kila wilaya.linalofanyika huyu rto mr. Omary ameamua kasulu ndio sehemu ya kuvuna.patrol hiz ninafanyka kasulu na ni wiz mkubwa kwa wananchi.tarehe 13.11 walikuwa apa siku 3.jana trafic hao wa kigoma warud apa.hawajaenda kibondo bali ni kasulu tu.wako askari 6 ila polis imewapa allowance au ni pesa wanazoibia watu ndio za kujikimu?naanza kupata picha sasa kuwa omary na timu yake wanakusanya pesa ya boss naodha.kama hamuamni kwa haya ninayoandika,basi uliza ndugu yako aliyeko kasulu atakwambia
 
Wizi huu rto hatumii maaskari wa apa kasulu bali hao anaokuja nao.je trafik wa kasulu hawajui kaz?naodha hawez kugusa mtu kwani pesa inachangwa kumpelekea.tunasubili walete operation ingine kabla ya xmas ili watafute pesa za sikukuu ila najua damu itamwagika.subili mtasikia muda c mrefu
 

Thats true! Tatizo la viongozi wetu ni bla bla za kisiasa lakini utekelezaji hakuna. Hata picha yenyewe inadhihirisha hivyo. Fikiria kwa Viongozi Wakuu wa Serikali katika mazingira wanayoonekana - haileti picha nzuri kwamba tuko serious na kauli zetu. Kwenye hiyo picha tatizo sio kunywa pombe husika, bali ni jinsi inavyonywewa!

Hivi kweli hili ni taifa ambalo tuko vitani dhidi ya UKIMWI na KIFUA KIKUU? Waheshimiwa Makamu wa Rais na Waziri Mkuu; are we really serious? Kweli kwamba kundi la watu linaweza kuzunguka mtungi kila mmoja na mrija wake halafu tunajidai majukwaani tunapambana na adui maradhi? Kumbe ndio maana baadhi ya maradhi yameamua kupiga kambi ya kudumu TZ kama hii ndio aina ya maisha ambayo hata viongozi wetu wakuu "wanatufundisha". Tamaduni na desturi hizi zimepitwa na wakati - bora hata tohara kwa wanawake kuliko utamaduni huu.
 
mimi siko magamba lakini kwa wazo hili nawapongeza. Ila shida ya magamba ni tofauti kati ya kutoa wazo na kulitekeleza

Kama kweli madereva wa mabasi wanaendesha vyombo hivyo wakiwa wamelewa, hiyo itakuwa ni sehemu ndogo sana inayosababisha ajali tunazoshuhudia kila kuchapo. Kuna mchanganyiko wa sababu nyingi. Ningempa pongezi gamba kama angesema wizara yake imetenga kiasi fulani cha pesa na kuwatafuta wataalamu wa masuala ya usafiri barabarani kufanya utafiti na kubaini hasa kiini cha ajali zilizokithiri na kutoa mapendekezo ya nini kifanyike. vinginevyo hapa huyu gamba anacheza politics tu.
 
Nilidhani kachukua hatua kumbe ni tamko tu!! Nchi hii kwa matamko iko bien inapokuja utekelezaji wa matamko hayo inakuwa ngoma. Na waandishi wetu walivyo wavivu huwa hawapitii maktaba zao na kuwakumbusha viongozi wetu juu ya matamko yao ambayo huwa hawatekelezi!
 
Eeeeh bwana wee hapa Pinda anaonekana kama kisha kolea vile? halafu jamaa wa pembeni kushoto anamtazama kwa makini sana..
2+(2).jpg
 
Nashindwa kuelewa. Hili tangajo gumu la Nahodha ni la leo au lini?
Source: Dimba / Mtanzania, Saturday Sepember 17, 2011 at 5:56

Anyway, doesn't matter much, it is just the same old story from Bongo.
 
Back
Top Bottom