Nahodha amfagilia tundu lissu.

Lua

JF-Expert Member
May 19, 2011
704
305
NAHODHA AMFAGILIA TUNDU LISSU KAMA NI HAZINA YA TAIFA, ni pale aliposema ni mtafiti mzuri sana na kama angefanya utafiti huo kwenye maendeleo ya nchi, nchi ingefika mbali sana kwani nchi hii ina mali nyingi sana.
 
umekimbilia kupost bila kumsikiliza hadi mwisho.......ameuma na kupuliza..full unafiki
 
Siku zote maendeleo ya nchi huanzia pale ambapo sheria za nchi ama hazipuuzwi au kupindishwa na baadhi ya viongozi au taasisi yoyote ile kama hali ilivyo hivi sasa nchini kwa maslahi binafsi.

Hivyo bado usahihi uko pale pale kwa huu utafiti wa kukata na shoka alioifanya kwa kina mno Mhe Antiphus Tundu Lissu endapo serikali yetu itaizingatia na KUIFANYIA KAZI ipasavyo kwa maslahi na uboreshaji wa mustakabali mzima wa taifa ndipo hicho kitu Mh Nahodha alichokiita MAENDELEO ndipo ipate kupatikana bila mawaa.

NAHODHA AMFAGILIA TUNDU LISSU KAMA NI HAZINA YA TAIFA, ni pale aliposema ni mtafiti mzuri sana na kama angefanya utafiti huo kwenye maendeleo ya nchi, nchi ingefika mbali sana kwani nchi hii ina mali nyingi sana.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Hawakawii magamba kusema nahodha ana mpango wa kuhamia upinzani
 
Ilkuwa kebehi..ungetulia kwanza kabla ya kupost

Yah, ilikuwa kama kuuma na kupuliza. Ila mwishoni ni kama kakiri kuwa aliyoyasema Lissu ni ukweli, ila yeye (Lissu) kama kiongozi anatakiwa kutafakari ni wapi aseme nini, maana hata kama ni ukweli unaweza kuleta machafuko
 
Nahodha ni wa ajabu kweli eti ukweli unaweza kuvuruga amani!
 
Mwanzisha thread amekuwa na haraka ya kupost, ungemsikiliza mpaka mwisho anasema nini!
 
Back
Top Bottom