Nahitaji wimbo wa Tanya Blount

kamikaze

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
422
610
Ndugu wana JF natumai mu wazima,

Naomba member yoyote aliye na wimbo "LAST TIME WE MADE LOVE" BY TANYA BLOUNT au upload hapa kwenye jukwaa nami nitaudownload maana nimeutafuta huu wimbo kwa zaidi ya miaka minne na hata kwenye net haupatikani zaidi ya title tu,

Naomba kusaidiwa kwa hilo.
 
Ndugu wana jf natumai mu wazima, Naomba member yoyote aliye na wimbo "LAST TIME WE MADE LOVE" BY TANYA BLOUNT au upload hapa kwenye jukwaa nami nitaudownload maana nimeutafuta huu wimbo kwa zaidi ya miaka minne na hata kwenye net haupatikani zaidi ya title tu, naomba kusaidiwa kwa hilo

tembelea link hii www.grooveshark.com mtafute utampata na huo wimbo upo,unless nenda radio one wanao
 
Ndugu wana jf natumai mu wazima, Naomba member yoyote aliye na wimbo "LAST TIME WE MADE LOVE" BY TANYA BLOUNT au upload hapa kwenye jukwaa nami nitaudownload maana nimeutafuta huu wimbo kwa zaidi ya miaka minne na hata kwenye net haupatikani zaidi ya title tu, naomba kusaidiwa kwa hilo

hata mimi niliutafuta sana, hatimaye umepatikana . download hapa kwenye attachment.
 
Attachments

  • Tanya Blount The last time we made love.MP3
    5.7 MB · Views: 795
Ndugu wana jf natumai mu wazima, Naomba member yoyote aliye na wimbo "LAST TIME WE MADE LOVE" BY TANYA BLOUNT au upload hapa kwenye jukwaa nami nitaudownload maana nimeutafuta huu wimbo kwa zaidi ya miaka minne na hata kwenye net haupatikani zaidi ya title tu, naomba kusaidiwa kwa hilo
Nautafuta
 
hii nyimbo niliitafuta kwa miaka mingi sana,ndio nimeipata leo Asante sana Mungu
 
Back
Top Bottom