Nahitaji Video na Picha za Tanzania

Steven Sambali

JF-Expert Member
Jul 31, 2008
352
170
Kwa wanachama wote na wasio wanachama wa JF kwa ujumla yaani wale ambao bado hawajajiunga ila wanasoma JF, nina ombi moja fupi sana kwa wote.

Jumamosi hapa Warsaw, nitakuwa nina kipindi cha saa moja nzima kuelezea kuhusu Tanzania. Uwanja ninao mpana na nitaweza kuelezea chochote ninachotaka. Nimepanga kuelezea mila na tamaduni za Tanzania. Nitaonyesha picha za vijijini na za mijini ili kuwapa watu hali halisi ya Tanzania. Ila ningelipenda pia kuwaonyesha nini kinaendelea kwenye vitu kama sherehe, harusi, misiba nk.

Kwa maana hii ningelipenda kama kuna mtu mwenye picha nzuri za Tanzania kwenye miji tofauti basi anitumie kwani kutakuwa na Projector na hivyo kuweza kuonyesha. Pia kama kuna mtu ana video basi pia aniwekee kwenye sehemu kama Rapidshare au Mediafire. Nafikiri huko unaweza kuweka hadi 100Mbts. Kwa film fupifupi itatosha kabisa kuenea. Please, don't send me Youtube video, since they have very low quality.
Ningelipenda video za ngoma za utamaduni, Ma-disco mashuhuri, picha nzuri za mahoteli yetu, bahari, ndege na mengine mengi. Pia kama kuna mtu ana maoni ama mapendekezo yoyote basi ninayakaribisha na nitayafanyia kazi.
Kama kuna mtu ana picha au hizo video, basi anitumie kwa kupitia email yangu hapo chini. Asanteni.

sambali@afryka.org
 
Kama kuna mtu ana picha au hizo video, basi anitumie kwa kupitia email yangu ya:

sambali@afryka.org

using google earth utapata picha nyingi sana kwa miji tofauti ya TZ
 
Asante na ntajaribu. Ila sijui uzuri wake utakuwaje. Bado Video ndiyo nina shida sana kuzipata hasa ngoma kama Sindimba, Mdundiko na nyinginezo. Nikipata kama walau mbili, basi zitatosha.

SSAMBALI!
Unafanya nini huko? Unless unasomea mambo ya anthropolgy, au kitu kingine kinachofanana na hicho,...otherwise vitu unavyotaka kuvionyesha kwenye presentation ambayo watu wame-honour mda wao kukusikiliza, haviendani na hadhi ya kipindi ulichopewa. Ulitakiwa uwaonyeshe sehemu zinaziohusiana na utalii zaidi km vile mbuga za wanyama, milima na mabonde, history of germs and precious stones zilizopo kwenye nchi yetu ,... n.k na vitu vingine kama hivyo. Unavyotaka kuwaonyesha wewe unaweza ukafanya hivyo hata kwenye laptop yako mkiwa bar au library mnajisomea inatosha,,,. Samahani kama nitakuwa nimekukera, ila huwa napenda sana kuongea kilicho rohoni kwangu!
 
Hebu Jaribu kugonga HAPA
 
Mkuu Makanyaga, ni kweli nasomea hayo mambo na niko mwaka wa nne. Nashindwa kufahamu umejuaje maana sijaandika sehemu.

Sasa mkuu, kwa nchi masikini kama hii, ambako somo pekee wanalofundisha ni anthropology, hata ukiwaonyesha sehemu za utalii, unafikiri wanapesa za kuja huko Tanzania? Poland ni taifa ambalo limechoka hadi linatia huruma. Wameniomba tu niwaambia jinsi Tanzania ilivyo na si kutangaza utalii. Ndiyo maana natafuta picha na video za kuonyesha maisha ya Mtanzania wa kawaida yakoje, miji ikoje na vijiji vikoje. Lakini kwa sababu utalii ni moja ya mambo yanayotendeka Tanzania, basi nako lazima nielezee kidogo.

Mkutano wa kesho, umekaa zaidi kama hivyo unayosema "mko bar au maktaba". Siyo mutano wa mtu unakuja umevaa suti ya Gucci au D & G. Umelenga zaidi watoto na mama zao/baba zao. Watu ambao wanataka kuifahamu dunia zaidi ya yale wanayosikia au kuona kwenye TV. Watu badala ya kwenda kwenye Supermarket kutembea ili kupoteza muda au kutembea kwenye bustani, jambo walifanyalo miaka nenda rudi, hii summer wanapata fursa ya kuifahamu Africa kwa karibu bila ya kwenda Africa kwenyewe.
 
Hizi hapa za ni picha za mji wa Dodoma ambazo nilizipiga kutokea kwenye kilele cha Mlima Mlimwa ambao uko maeneo ya area D.
 
Attachments

  • Royal Village Hotel Dodoma-Iko Pembeni mwa Mlima Mlimwa Area D.JPG
    Royal Village Hotel Dodoma-Iko Pembeni mwa Mlima Mlimwa Area D.JPG
    264.8 KB · Views: 109
  • Dodoma.JPG
    Dodoma.JPG
    388.3 KB · Views: 108
  • Dom.JPG
    Dom.JPG
    388.1 KB · Views: 102
  • Mji wa Dom.JPG
    Mji wa Dom.JPG
    417.8 KB · Views: 98
  • Mlima Mlimwa Area D Dodoma.JPG
    Mlima Mlimwa Area D Dodoma.JPG
    462.1 KB · Views: 119
  • Mount Mlimwa.JPG
    Mount Mlimwa.JPG
    475.7 KB · Views: 94
  • Shule ya St. Ignatus Ipo Ipagala West Dodoma.JPG
    Shule ya St. Ignatus Ipo Ipagala West Dodoma.JPG
    227.1 KB · Views: 98
  • Mji wa Dodoma kutoka Mlimani Mlimwa.JPG
    Mji wa Dodoma kutoka Mlimani Mlimwa.JPG
    332.8 KB · Views: 133
Back
Top Bottom