Nahitaji ushauri wenu wakuu!

Ahmad Mussa

Member
Oct 21, 2011
46
19
Nakusudia kutoa kitabu chenye jina la MZIGO naomba katika haya majalada yaliyopohapa chini muweze kunishauri ni lipi lina mvuto zaidi.
mzigo book cover illustration.jpg Mzigo Cover 3.jpg Mzigo Cover 3 Gradient.jpg
 

Attachments

  • mzigo.jpg
    mzigo.jpg
    9.3 KB · Views: 25
Inategemea na lengo lako. Unaweza kuweka hata picha ya ua,mkono wenye pete,jani,gazeti,sigara.. Kama lengo ni kuuza harakaharaka kava la juu linasaidia hapa kwetu likiwa kati ya picha mojawapo hapo juu. Ila isiwe ya mtu basi,iwe pistol inayotoa moshi..
 
labda ungetupa summary ya kitabu chako kwani picha husika yaonyesha mtu ana mzigo na silaha kwa hivo yaonyesha ni mtu aneweza kujikinga mwenyewe sasa kifo kitmafikaje iwapo mtu una silaha?si anaweza kuwauwa adui zake? labda nimeelewa vibaya lkn cover la kitabu linabeba ujumbe maridhawa wa maudhui yaliyomo ktk kitabu,nadhani silaha ingetolewa weka mtu anakimbia na mzigo huku akitafutwa na watu wenye silaha. ni mtizamo tu. Hongera kwa kutunga kitabu.
 
kama ni issue ya ujambazi ndiyo inyaobeba maudhui ya kitabu, mwanangu hiyo picha ya kwanza ndiyo mwake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom