nahitaji toyota rav4

RealTz77

JF-Expert Member
May 18, 2009
738
40
please nahitaji toyota rav4, 5doors rangi yeyote, ila milage isizidi 120,000km, na bei pia isizidi 10m. iwe katika hali nzuri haijapata ajali ikaumiza vifaa vya ndani, mikwaruzo, dents hizo ni normal hakuna shida!
 
Hata mimi natafuta RAV 4. Kwa sasa nakusanya hela. Ila iwe model sio hii ya sasa bali ya nyuma kidogo ambayo naiona inapendeza kuliko za kisasa.
 
Ni pm, ntakupatia gari kama unayoitaka for less na ipo hapa Dar tayari. Ina rangi ya Maroon, 5 doors, full option, ililetwa mwaka jana direct from Japan, kwa sasa ni ac haifanyi kazi matengenezo yake hayafiki laki moja. Itabidi uje na fundi unaemuamini akutazamie kila kitu. Aside ya ubovu wa ac, kila kitu kinafanya kazi vizuri. TZS 8m non negotiable. Kama uko interested ni pm.
 
kaka huko majumuish ya bei yanakuwa juu sana! najua kwa 10m siwezi agiza toka japan hela kidogo hiyo

No inategemea model unayoitaka au mwaka na km unazotaka but bei siyo kuwa kihivyo labda km unatafuta ya kuanzia 2003 had mwaka jana ndo bei juu dunia nzima!
 
Haya, naona unataka fastafasta ongea na Daresalaam hapo juu amesema anayo iko powa 8m tu- thats a good bargain son...go for it!
 
please nahitaji toyota rav4, 5doors rangi yeyote, ila milage isizidi 120,000km, na bei pia isizidi 10m. iwe katika hali nzuri haijapata ajali ikaumiza vifaa vya ndani, mikwaruzo, dents hizo ni normal hakuna shida!

mmmhhh 10m, mbona nyingi sana kwa used RAV4, ww mgeni wa magari, google tradecarview, japanese used cars, nk,na kusafirisha plus import
tax wala haishi, u can get 1999 used RAV 4 with under 100,000km for $2000
 
Cha muhimu ni kumsaidia mwenzetu atokane na shida ya usafiri na kweli ni mgeni ndio maana kaomba msaada kwa wana JF
mmmhhh 10m, mbona nyingi sana kwa used RAV4, ww mgeni wa magari, google tradecarview, japanese used cars, nk,na kusafirisha plus import
tax wala haishi, u can get 1999 used RAV 4 with under 100,000km for $2000
 
Ni pm, ntakupatia gari kama unayoitaka for less na ipo hapa Dar tayari. Ina rangi ya Maroon, 5 doors, full option, ililetwa mwaka jana direct from Japan, kwa sasa ni ac haifanyi kazi matengenezo yake hayafiki laki moja. Itabidi uje na fundi unaemuamini akutazamie kila kitu. Aside ya ubovu wa ac, kila kitu kinafanya kazi vizuri. TZS 8m non negotiable. Kama uko interested ni pm.

Ndugu Dar Es Salaam, hii gari bado ipo? Tafadhali tufahamishane
 
please nahitaji toyota rav4, 5doors rangi yeyote, ila milage isizidi 120,000km, na bei pia isizidi 10m. iwe katika hali nzuri haijapata ajali ikaumiza vifaa vya ndani, mikwaruzo, dents hizo ni normal hakuna shida!

Mkuu unaweza kuipata tuwasiliane, RAV4 blue imetumika miaka mitatu Dar na Pwani...kwa sasa iko barabarani AC inafanya kazi imekwaruzika kwa nyuma (body) inaweza kutengenezwa kama utaomba kufanyiwa hivyo bei Mawaelewano ni PM
 
Ninazo 2 kwa mil 7 each. Automatic na manual. Auto ina kitu kinagonga sijajua ni nini. Zimepaki tu home,ziko fresh.
 
Back
Top Bottom