Nahitaji toyota rav4 ya mwaka 1998-1999-2000

Mkuu exav na mdau nimeiuza hiyo leo kwa milioni 16.5 sorry mkuu kama unataka ninaagiza nyengine itaondoka January kuja bongo ukitaka niPM tuwasiliane zaidi uende wapi ukaicheki hiyo. Niliyoiagiza nayo ni mayai ila imetembea 70,000 KM na ni petrol cc 1900 mwaka 2001-2002

Mkuu Mdondoaji, pamoja na kuchelewa kukuandikia, naomba ulete features zaidi za hii gari inayokuja. Itapendeza ukistate bei yake na nini kiko covered ndani ya hiyo bei, rangi, idadi ya milango n.k.

Karibu!
 
kataarifa kazuri haka,
mtoa mada usikate tamaa utafanikiwa tu.
Mimi naomba kuijua vizuri gari TOYOTA GRAND ESCUDO kwa yeyote mwenye uzoefu nayo.
Ahsanteni.
 
jamani mimi nimeipenda hiyo gari ya 2002, ila nnakiwanja Gezaulole kimepimwa ukubwa SQ 2200 kipo posted kwenye mbaga real estate. kama vipi nipe hiyo gari na hela Tshs. mil 2
 
Back
Top Bottom