Nahitaji Tanzania Law of Contracts Act

CULCULUS

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
316
619
Ndugu zangu mwenye soft copy ya Contract ACt of Tanzania naomba aniwekee hapa. Ninashida nayo sana jamani. Thanx in advance..
 
Siku nyingine uombe vizuri aidha useme Law Of Contract au Contract Act, usije onekana Kilaza kwa kuchanganya Law of Contract Act kwani ni sawa na kusema Barabara ya Pugu Road
 
Siku nyingine uombe vizuri aidha useme Law Of Contract au Contract Act, usije onekana Kilaza kwa kuchanganya Law of Contract Act kwani ni sawa na kusema Barabara ya Pugu Road

Mkuu yuko sahihi ni the Law of Contract Act!
 
Back
Top Bottom