Nahitaji suzuki carry truck

Charles Mtekateka

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
317
89
Asanteni, DEAL IS DONE! thnks JamiiForums


Specifications


1. Rangi yoyote .
2. Ndani iwe safi - iwe katika hali nzuri
3. Mileage si zaidi ya km 90,000
4. CC 660.
5. Isiwe na mikwaruzo bt Kama ina mkwaruzo nijulishe mapema.

NB.

1. Dalali hatakiwi, nahitaji kuwasiliana na mwenye mali tu.
2. Ukituma msg weka na ofa price
3. 0764 162008
 
Back
Top Bottom