nahitaji simu-ideos

wewe usikurupuke..
hii Huawei,Google phone, idios ya android.
genuine. 200,000tsh.
chip zote hadi za nje
 
Hiyo bei ni kwa ideos ambayo inakubali line zote na mpya kwenye box yake jamani siwezi muuzia mtu kitu kibovu thn baadae akashindwa kunitafutia mteja mwingine, so ni 130000 tu.
 
Johnson 2pia specifications, au na picha kabisa... au nipe jina full ni Google.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom