Nahitaji Shamba maeneo ya mwongozo

Kitope

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
236
58
Wajameni!! Kwa mwenye kujua ama mwenye nalo na anauza, mimi nahitaji shamba maeneo ya mwongozo kigamboni, likianzia eka mbili na kuendelea itakuwa poa. Mwenye nalo tafadhali anijulishe ukubwa na gharama zake tufanye biashara!!
natanguliza aksante!!
 
Mwongozo hakuna mashamba tena, kwa sasa kumeshapimwa viwanja na serikali. Nenda maeneo ya mbele kuanzia dege, mwembe mdogo, mbutu, gomvu, buyuni kama shida yako ni shamba.
 
Duu una bahati sana mkuu,nina shamba hekari moja na nusu mwongozo kibaoni unaingia ndani kama km 3 kutoka barabarani linapakana na ukanda wa bahari lina mikoko kwa upande wa chini ni eneo zuri kama ukijenga hotel ya kitalii au ghorofa,starting price ni mil 30 kama unazo ni PM
 
Ununuzi wa Maeneo ya kando ya bahari yanahitaji umakini sana maana utapeli ndo umejaa huko. Sehemu moja yaweza kuuzwa hata mara tatu.

Kuna mzee mmoja ana shamba Mbutu, mbele kidogo ya Mwongozo ni ekari 4. Ukipenda wasiliana naye moja kwa moja kwa 0716090680
 
Ununuzi wa Maeneo ya kando ya bahari yanahitaji umakini sana maana utapeli ndo umejaa huko. Sehemu moja yaweza kuuzwa hata mara tatu.

Hivi kuna watu bado wanauziwa kiwanja mara tatu? Mmmhhh hiki mimi ndo mwenyewe na sijakiuza kwa mtu yeyote,sio hicho tu nina vingine vya kupimwa kibada na toangoma so sibahatishi katika hiyo issue,kama jamaa ana hela ya kutosha anivue ilo la mwongozo heka moja na nusu,gari inafika hadi kwenye kiwanja.
 
Mi ninacho maeneo ya Puna upande wa baharini,
Eka 2 @ Tshs 5mil kwa eka
 
Hivi kuna watu bado wanauziwa kiwanja mara tatu? Mmmhhh hiki mimi ndo mwenyewe na sijakiuza kwa mtu yeyote,sio hicho tu nina vingine vya kupimwa kibada na toangoma so sibahatishi katika hiyo issue,kama jamaa ana hela ya kutosha anivue ilo la mwongozo heka moja na nusu,gari inafika hadi kwenye kiwanja.
Fafanua zaidi kidogo ili nipate picha maridadi
 
Mimi ninashamba ekari 10 Mwasonga Kigamboni na bei nimaelewano tumeandikishana na serikali ya kata bei 25 Millioni. kama upo sawa ni PM
 
Duu una bahati sana mkuu,nina shamba hekari moja na nusu mwongozo kibaoni unaingia ndani kama km 3 kutoka barabarani linapakana na ukanda wa bahari lina mikoko kwa upande wa chini ni eneo zuri kama ukijenga hotel ya kitalii au ghorofa,starting price ni mil 30 kama unazo ni PM
Hayo maji marefu siyawezi mkuu, napita tuu
 
S. Burn!! hayo maelezo yako ya kufanya biashara au unatambulisha tu kwamba unacho!!! mawasiliano??
 
nina shamba eka tano lugwadu na mkokozi. Ni km 5 kutoka barabara iendayo kongowe kituo cha mwembe mtengu eka ni 10m. Shamba lina mikorosho ya kisasa haijaanza kuzaa na minazi midogo cal me 0712769766
 
Back
Top Bottom