Nahitaji Rafiki wa Kike

Diga Diga

Senior Member
Sep 3, 2012
187
65
Awe na sifa zifuatazo:-
  1. Umri wa kati ya miaka 18 - 25
  2. Elimu ya Sekondari na kuendelea
  3. Awe na dhamiria ya kuwa kwenye mahusiano thabiti
  4. Asiwe mnene sana
  5. Asiwe mfupi sana
  6. Awe tayari kupima magonjwa endapo uhusiano wetu utakua na kuelekea kwenye uchumba
  7. Awe mcha Mungu

Kwa watakaohitaji kujua zaidi sifa zangu wani-pm kwani si wote hapa watataka kuona wasifu wangu ilhali hauwahusu.

Ahsanteni na karibuni!
 
Kama ni urafiki tu, kwa nini usiseme unahitaji marafiki wa kiume pia? Huenda ukawa na ajenda ya siri katika urafiki unaoutafuta. Funguka zaidi tafadhali.
 
Kama ni urafiki tu, kwa nini usiseme unahitaji marafiki wa kiume pia? Huenda ukawa na ajenda ya siri katika urafiki unaoutafuta. Funguka zaidi tafadhali.
Wee Binti.com, tafadhali rejea kipengele cha 6 katika sifa ninazozihitaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom