The Bright Man
New Member
- Oct 22, 2016
- 2
- 0
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 24 ndo niko mwaka wa mwisho kati ya vyuo vikuu hapa Tanzania, Nahitaji rafiki wa kike na atakaye kuwa tayari tuanzishe familia kadri MUNGU atakapozidi kutupa uzima, umri wake kuanzia 20 hadi 24, awe mkristo kabila lolote awe anaishi dar es salaam, elimu yake kuanzia kidato cha sita hadi chuo kikuu au hata diploma yoyote ili mradi ije imwingizie kipato. aliye tayari ani-pm na awe serious please no joking.