Nahitaji Nyumba ya Kupanga, Sinza, Kijitonyama, Mwenge, Savei Tsh 150,000/-

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,459
29,153
Wadau,
Nahitaji Chumba (Master) iwe na Sebule maeneo yaliyotajwa hapo Juu kwa ajili ya Shemeji yenu Mtarajiwa!!!!
Maji yawe available, na pasiwe uswazi.
Shukrani!!!
 
master na sebule kwa hiyo bei na kwa hayo maeneo huwezi pata labda sinza kwa mtogole
 
kwa hiyo demu wako amekutuma umtafutie chumba ndio unakuja tukusaidie??
 
Mh..mbona hiyo bei yako ni tofauti na masharti yako.Nyumba nzima kwa laki na nusu kwa hayo maeneo uliyotaja tena iwe selfcontainer?hebu acha utani punguza makali ya masharti yako.Hebu sikia hii labda itakufaa.Kuna nyumba nzima inapangishwa ipo Mburahati NHC,kodi yake ni laki moja tu kwa mwezi na inatakiwa kodi ya mwaka mmoja.Ni selfcontainer,kama utahitaji tutawasiliana kupitia Private Message.
 
Umeninukuu vibaya mkuu wangu
Sihitaji Nyumba zima, nahitaj chumba na sebule, but hicho chumba kiwe na choo chake mkuu
 
Maisha ni tofauti sana mimi nakaa mitaa iliyotajwa na nina master sebule jiko na packing ya kutosha maji bwerere nalipa 120,000 wenye nyumba wengine wanajua maisha ya mjini yalivyotabu kwa hiyo hawapandishi kodi,sema tu akiingia dalali utasikia mwenye nyumba hapa tupangishe kwa laki2 au2.5,madalali wanasaidia lakini wanaongeza sana gharama,hata kama mwenye nyumba hana nia ya kuongeza kodi ,kaka komaa tu utapata,mbona hata kwa 100 tu!
 
Mkuu nipigie chapuo basi mitaa ya huko!!!!
 
Kwa laki mbili unapata nyumba ya specification ulizozitaja. Kama unayo nenda maeneo ya Colabas-K-Nyama, mtafute mama Hilal. Huyu ni dalali mzuri sana. Huyu mama hana longo longo
 
Huyu mama nitakua namfahamu, hua naoshaga gari pale opposite na Colabas karibu na Shule, ngoja nikamcheki!!
 
Umeninukuu vibaya mkuu wangu
Sihitaji Nyumba zima, nahitaj chumba na sebule, but hicho chumba kiwe na choo chake mkuu

samahani kwa kukunukuu vibaya,sasa nimekuelewa na nakuhakikishia chumba utapata maeneo hayo.cha muhimu usiwafuate madalali kwani watakuumiza.
 
Huyu mama nitakua namfahamu, hua naoshaga gari pale opposite na Colabas karibu na Shule, ngoja nikamcheki!!
Shwadakta..ni huyo huyo. Huwa anapoa kwenye kagenge flani hivi hapo karibu na car wash!
 
Yeah,
Kale kagenge ka matunda.
Mkuu unapoa mitaa ile nini??
Mi nakaa Sayansi so pale ndio kijiwe changu cha kuoshea Gari!!
 
Hahaha...mimi mzururaji tu ndani ya hili jiji. Niliishi hayo maeneo zamani nikiwa bachelor. Nina jamaa yangu mtangazaji wa clouds anaish maeneo hayo ndio huwa nakuja kusabahi hapo!
 
Maisha ni tofauti sana mimi nakaa mitaa iliyotajwa na nina master sebule jiko na packing ya kutosha maji bwerere nalipa 120,000 wenye nyumba wengine wanajua maisha ya mjini yalivyotabu kwa hiyo hawapandishi kodi,sema tu akiingia dalali utasikia mwenye nyumba hapa tupangishe kwa laki2 au2.5,madalali wanasaidia lakini wanaongeza sana gharama,hata kama mwenye nyumba hana nia ya kuongeza kodi ,kaka komaa tu utapata,mbona hata kwa 100 tu!
nawachukia madalali....wanaiba mchana kweupee
why wenye nyumba wasitangaze na wapangaji wakabid dau kuliko kutembezwa mtaani kwenye nyumba hata zisizopangishwa na kutozwa ada ya kuonyesha??
 
Ebwana na mie nina tatizo kama lako natafuta nyumba kweli ila ya rum tatu, ukumbi pamoja na rum bili za kulala.
 
Back
Top Bottom