Nahitaji mwanaume ambae mke ni vuvuzuela

Semeni ukwey wangapi mshampm Clearing?au mna mahusiano na Clearing wengine? tuache unafiki! :mad2:
 
This is FURAHIDEI! Anamaanisha huyu Mama! Kama yupo mwenye sifa hizo, ajitokeze atolewe machungu! Ila hiyo GEAR uliyoingia nayo! Mhhh!
 
Wadau nahitaji mwanaume ambae amemchoka mkewe, akirudi nyumbani mke wake makelele makelele hamueshimu, hamsikilizi kisa wana vipato sawa au kamzidi mumewe kidogo kila akiambiwa jeuri mwanaume huna raha, anakwambia hata ukimuacha poa tu hajali kwani ana kipato chake unatamani kumuacha lakini unashindwa kwani hujui uanzie wapi kutafuta mwanamke mwingine njoo kwangu ule raha, nina miaka 31. Ila uwe unamaanisha unataka kuachana nae na sio unakuja kupoozesha machungu tu mi nataka nikupoozeshe machungu mpaka mwisho wa maisha yako.

Here I am Welcome, just pm me
 
huyu clearing anacheki tu kama mumewe ni member wa JF... maana anajijua yeye ni vuvuzela

LOL
 
Jamani mimi naona hili ni soko huria. Ni sawa tu kama unataka kuuza bidhaa yako ujitangaze hivyo mpeni space nae atulize mizuka yake. Big Up!!!!
 
Mie PM yangu imekuwa rejected...............the member you PMed is out of range since her line is Xtremely busy.........:becky::becky::becky:
 
Ila ameacha ujumbe kwa akinamama ambao ni mavuvuzela wajihadhari waume zao wanawezachukuliwa na akina clearing & forwarding
 
Talking of professional infidelation. Kwa nini uistake mjane au divocee hivi?:confused2:
 
Back
Top Bottom