Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,431
mama anamawazo chanya kama yangekua hasi ningekwepa
hebu fikiria kanizaa
kanilea
kanipeleka shule
mpaka hapa nilipo i've never knew my fadher je hapo kwa swala la mtoto nimkatalie?
baada ya kukufanyia hayo yote anataka fadhila ya mjukuu.....kwa upande wangu sijaona kama ni hoja ya kukuumiza kichwa kufikia kutaka kwa lazima mtoto hata kama hujajianda.........kila la heri mkuu