Nahitaji msaada

chriss brown

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
292
63
Jaman mwenzenu nina girlfriend 4,wote wananipenda,nana wapenda.imefika mahali natakiwa kuchagua mmoja tu,kwa ajili ya ndoa,wawili wapo dar,na mmoja yupo masomoni china,na mwingine tanga,wote madent.ila hawa wadaa wote wafanyakazi.nimchague yupi?,wote wana vigezo vyangu.lakini dini yangu inaruhusu mmoja tu...Help
 
Chriss brown
Maybe ungeanza kwa kutupa wasifu wa kila mmoja and from your perspective what is that one distinguishable character and/or feature she has that sets her apart from others, and then...................
 
dahhhh
kuna show moja inaitwa "The Bachelor"
haina tofauti na ulicho andika hapo..

Anyway
umesha solve hili tatizo mwenyewe , umesema ya kwamba
unawapenda wote, nani mmoja tu anaeendana na dini yako.

Kama ingekuwa ni mimi ningeangalia ni yupi ntakae weza ishi nae
kwa amani na Je aninipenda kama ninavyompenda , Nsinge angalia
dini. ( lakini huyu ni mimi)

Maisha ni hali ya hewa tuna tabiri "forecast" lakini hali ya hewa inaweza
isije kama tulivyotabiri. . Chagu anaeendana nawe. na Kila lakeri na safari yako.
 
nachomaanisha,nahitaj mmoja tu.nikimaanisha.mimi mkristo,pia wao.
 
Jaman mwenzenu nina girlfriend 4,wote wananipenda,nana wapenda.imefika mahali natakiwa kuchagua mmoja tu,kwa ajili ya ndoa,wawili wapo dar,na mmoja yupo masomoni china,na mwingine tanga,wote madent.ila hawa wadaa wote wafanyakazi.nimchague yupi?,wote wana vigezo vyangu.lakini dini yangu inaruhusu mmoja tu...Help

How do you manage to have all of them? If at all is true then you must be one hell of a stud!

And do they all know of each other? If so, what is their take on the whole situation?

Anywho, here is my suggestion...a couple of years ago there used to be a television dating reality show called ElimiDate in which one person chose between four contestants of the opposite sex (who vied for him/her) by eliminating them one by one in three rounds.

You could do the same with your girls. If you need help with it just holla. I'd be more than happy to assist you on how to go about it.
 
Angalia ambaye moyo wako unakwambia ndiye anayefaa na umuoe,hapa hatuwezi kukuchagulia maana hatujui unapenda nini toka kwao,hata hivyo hujaweka data zao hapa.
Sijapenda kuona una wanawake wote hao,hivi kwa hali ilivyo sasa bado tu huogopi magonjwa?Unawaamini vipi hao wanawake ambao unaishi nao mbali?Ninaona hata kama utaamua kumchagua mmoja bado utaendelea kusumbuka na wa nje,angalia tabia yako na anza kuchukua hatua juu ya mwenendo wako wa maisha.
 
Mi nadhani umejichanganya! Haya tudanganye sasa kwa wote upendo uko sawa sawa? Kama sio jibu ushalipata. Nenda kwa unaempenda sana ila huyo wa china achana nae ana mapenzi feki
 
Badili dini uoe wote 4. Ukianza kupata marital problems urudi tukushauri. Japo nahisi ukiwaambia ukweli utashangaa nao kila mmoja alikua na wake, ww ndo ulikua spare tyre. Kwa hiyo andaa moyo wako, nyundo ya kupasulia mawe nayo hupasuka
 
Katika hao wanne yupo mmoja ambaye unampenda zaidi ya wote na unawafahamu vizuri wewe mwenyewe. Hata hivyo sisi hatujui sifa unazopendelea awe nazo mkeo mtarajiwa, hivyo kazi ni kwako kuchagua.
 
Badili dini uoe wote 4. Ukianza kupata marital problems urudi tukushauri. Japo nahisi ukiwaambia ukweli utashangaa nao kila mmoja alikua na wake, ww ndo ulikua spare tyre. Kwa hiyo andaa moyo wako, nyundo ya kupasulia mawe nayo hupasuka

siwez badili dini.
 
Kama hakuna unayempenda zadi kati ya hao jua tu kwamba huwapendi wote kwa dhati .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom