Nahitaji msaada wako kuhusiana na ''free internet''!

hivi kamanda ile trick ya zantel haiwezekani kuongeza speed kidogo?
Mkuu soon ntakuja na mambo mapya wengi wamenipm maujanja mapya sema nimeshndwa wajibu coz bdo mambo ni complicated sana mtu kuelewa..na process kibao yani mkuu ni noumer sasa jana ilifika 500KBps duuh. So kabla wk haijaisha hii i think mambo ntayarahisisha na kuzijibu pm za watu on how to do it.
 
Tutafute pesa wakuu,hata hiyo ya bure yenyewe tukiambiwa inauzwa mfano laki 1,tutaanza kulialia tena!Hahahah!
 
Mkuu soon ntakuja na mambo mapya wengi wamenipm maujanja mapya sema nimeshndwa wajibu coz bdo mambo ni complicated sana mtu kuelewa..na process kibao yani mkuu ni noumer sasa jana ilifika 500KBps duuh. So kabla wk haijaisha hii i think mambo ntayarahisisha na kuzijibu pm za watu on how to do it.

pamoja sana wanatech hata mimi naisubiri hiyo ya airtel usisahau kuni PM
 
mpm figganigga anaweza kukupa maelekezo ya line za tigo au mfuate pale tumaini kurasini. alinisaidia. andaa kiasi kidogo cha hela.
 
Mkuu soon ntakuja na mambo mapya wengi wamenipm maujanja mapya sema nimeshndwa wajibu coz bdo mambo ni complicated sana mtu kuelewa..na process kibao yani mkuu ni noumer sasa jana ilifika 500KBps duuh. So kabla wk haijaisha hii i think mambo ntayarahisisha na kuzijibu pm za watu on how to do it.

Mkuu naomba uni-PM ya Airtel. Pls dont forget
 
Mimi ni mtu aliyeingia jf hivi karibuni na ndani ya hizo siku chache nimeona watu wakisema wanafaidi free internet.. Please wataalam naomba na mimi mnitumie hizo configurations za free internet especially za tigo na mimi nifaidi... Pleaaaaaase nawaomba wakuu
 
Sio kwamba ninapenda dezo, no! Huku chuoni life la kununua bundle linachosha. Kuna watu wengi wamechakachua na wanatumia internet free kilasiku. Tatizo ni kuwa maujanja ya kufanya sina. Nawashukuru walioniPM. Mungu awabariki.

mkuu apollo nipatie na mm hayo maelezo kwa pm
 
Mkuu soon ntakuja na mambo mapya wengi wamenipm maujanja mapya sema nimeshndwa wajibu coz bdo mambo ni complicated sana mtu kuelewa..na process kibao yani mkuu ni noumer sasa jana ilifika 500KBps duuh. So kabla wk haijaisha hii i think mambo ntayarahisisha na kuzijibu pm za watu on how to do it.

mkuu nami nina modem ya vodacom naomba hayo maujanja ya kuchakachua internet ya bure ndugu! Nipm na maelezo mkuu!
 
Back
Top Bottom