Nahitaji Msaada wa kupata web browser ya sony ericsson.

coscated

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
2,919
1,968
Nina simu aina ya sony ericsson w595 inatumia files zenye jar format. Tatizo kubwa linalonikabili ni kwamba kila nikitumia opera mini (4 au 5) inafikia kipindi hiyo opera inagoma kufanya kazi mpaka niinstall tena nyingine ambayo pia inaweza kunigomea kufunguka. Hivyo basi nilikuwa naomba msaada wenu namna ya kupata mobile web browser tofauti na opera mini. Natanguliza shukrani.
 
Inagoma na errors gani?
Mi natumia opera Mobile na iko vema. Pia niliwahi kutumia Opera mini bila tatizo.
Lakini sio Ericksson
 
Inagoma na errors gani?
Mi natumia opera Mobile na iko vema. Pia niliwahi kutumia Opera mini bila tatizo.
Lakini sio Ericksson

Inakuwa cursor hai move kwenda chini au juu pale ninapo hold up/down key kisha nikiifunga ndio inakataa kabisa kufunguka tena inaishia pale mwanzo kwenye 'installing'
 
Umejaribu opera mini mod, hii ni kiboko version mpya kutoka kwa madeveloper urusi, google utaipata
 
Umejaribu opera mini mod, hii ni kiboko version mpya kutoka kwa madeveloper urusi, google utaipata

Vipi mkuu ni version gani. Na kingine nitajuaje kama inatoka urusi maana nikisearch zinakuja nyingi
 
Nina simu aina ya sony ericsson w595 inatumia files zenye jar format. Tatizo kubwa linalonikabili ni kwamba kila nikitumia opera mini (4 au 5) inafikia kipindi hiyo opera inagoma kufanya kazi mpaka niinstall tena nyingine ambayo pia inaweza kunigomea kufunguka. Hivyo basi nilikuwa naomba msaada wenu namna ya kupata mobile web browser tofauti na opera mini. Natanguliza shukrani.

Ndugu Mpendwa,
Web site ya spny ericsson ipo mbona kwenye search bar? Ukiingia utapata software na accessories za simu yako bure! Jaribu tena, hasa kwa kutumia google.
RA
 
Asante ila ningependelea web browser tofauti na opera maana naona zinanisumbua
Mkuu umejaribu UC browser, mimi ninanayo sonyericsson p900 ya 2005, natumia opera mini version 4 na 3 bila matatizo,pia natumia UC browses safi kabisa. na juzi kati nimeinstall opera mini mod hii ni mwisho wa matatizo.
Jaribu kugoogle "browser for mobile phone" naamini utapata altenative.
Best wishes
 
Huyu "kagame " sijui kama anaelwa anachokitaka nimemuwkea link ya UC browser pale juu bado anasema antaka broswer tofauti . na opera mini Inawezekana link niliyomukwekna ni ya zamani lakini naweza kutafuta latest. Au hasomi

UC borser ni recommeded kwa sonny errikson. Au unataka ipi sasa
 
Jaribu na bolt brouser, hii ikikubali ktk simu yako mkuu kama uko kwa desktop. feedback please..
 
Back
Top Bottom