Nahitaji msaada kupata vitabu hivi,kwa softcopy preffered.

jovinh45

New Member
Sep 18, 2016
1
0
Wanaforum habari zenu, nahitaji msaada kupata vitabu kadhaa vya Kiswahili, ni riwaya na tamthilia hasa, nimehamia ughaibuni,(Linkoping, Sweden) karibu mwezi sasa na nahitajika kujifunza Kiswahili kwa hivi vitabu, na maktaba za huku hakuna. Naomba yeyote mwenye info kuhusu softcopy za hivi vitabu anisaidie...

Utengano Said A Mohhamed
Damu Nyeusi
Wingu Jeusi
Watoto wa Mama Ntilie E.Mbogo

Au vitabu vingine vyovyote vya Kiswahili, Riwaya au Tamthilia,
Asanteni sana.
Email joavinhussein@gmail.com
 
Ntakusaidia ila kwa pesa kidogo maana nami niliuziwa. Ntakucheki kwa email
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom