Nahitaji msaada kuimarisha ndoa yangu

Na mimi nilikuwa nafikiri hivo hivo...wanene wana usingizi mwingi na wanalala popote hata katikati ya mazungumzo.

Kama mnene dawa ni zoezi na diet; ni kwa afya yake pia si kwa afya ya penzi peke yake.

Mke wako ni mnene sana?

Kama ndio mpigishe mazoezi ya JKT, jogging na ale matunda na mboga mboga kwa wingi. Apunguze vyakula vya mwanga na mafuta.

Aache kunywa jamii ya coca cola badala yake anywe maji ya dafu au ya kawaida tu na atumie mafuta ya nazi katika mapishi.

Kama ni mwembamba sana, mpe lishe ya kutosha na mazoezi.

Asipopata nafuu, mwone mganga/ daktari kwa ushauri na vipimo.
 
Kama kuna doctor unamfahamu, siku akienda hospital mwambie amtishe kuwa anakaribia kufa kama hatapungua...Maana watu wengi ni wagumu kukubali kupunguza weight mpaka watishiwe maisha. Na wanakuja kuanza diet na mazoezi baada ya kuwa na magonjwa which is too late.

Nakushuru kwa ushauri. Mke wangu ni mnene, uzito wake ni km 100kg, umri wake 38 anajitahidi kula sana, anapenda vya sukari sana, hafanyi mazoezi na hanywi pombe.

Nimejitahidi kumshauri afanye mazoezi, apunguze weight, aache sukari sukari lakini bado kimsingi sijafanikiwa. Binafsi nafanya mazoezi ili ku -maintain my shape and good health. She likes sex so much as i do, we match in everything when it comes to love making.

Tatizo kubwa ni usingizi wake coz well nikimwamsha kila kitu kinakwenda sawa kama hajalala vile coz she like it alwayz. What i need is to help her angalau apunguze kulala the way she does.

Nitafanyia kazi ushauri wenu
 
Nauongana na Roulette. Ila hyo ya we tanua paje aiseeeee hatari si anaweza akatokelezea mtu yeyote akatanua yeye akajua ni wewe kumbe mbakaji?
 
Last edited by a moderator:
isije kuwa ni 'chronic depression'

watu wenye chronic depression huwa wanalala lala saana
 
Lakini sio vizuri kuleta dhihaka Kwenye vitu Kama hivi.

Dhihaka yanini na gomba limefanyiwa utafiti na kuonesha kuwa linapoteza usingizi na linaongeza matamanio ya kufanya.

Hiyo ni dawa ya uhakika niliyompa na sitanii. Usione hapa kwetu kaipiga marufuku Mrema kwa ujinga wake, Kenya ni zao kubwa hilo, wana export mpaka Europe, India na kwingineko. Soma hizi link ujionee mwenyewe, sitanii kabisa:

Kenya Miraa- Exporters of fresh Kenyan Miraa-kangeta-kisa-khat-veve-ngomba

Case Study
 
Uende kwa wataalamu wa afya, fanya hima mkuu...pole kwa hilo tatizo maana siyo dogo!
Nlikuwa nasoma na dada mmoja sec. yaani kila kipindi darasani alikuwa anasinzia, tukiwa tunasali anasinzia, tukiwa tunapiga stori anasinzia na usiku alikuwa anapumzika vizuri usingizi haukati mpaka wanafunzi&walimu wengi wakamfahamu kwa hilo..sijui anaendeleaje sasa ila usingizi ule haukuwa wa kawaida..

labda ndo mke wake
 
Pole sana inaelekea mkeo ana ugonjwa ambao unamfanya saa zote awe analala. Nendeni hospitali mkaongee na wataalamu labda wanaweza kuwashauri nini cha kufanya au dawa za kumpa kuepukana na huo usingizi usiokwisha (labda ugonjwa wake huu una uhusiano na ugonjwa wa malale ambao unasababishwa na kuumwa na mbung'o) . Huu ushauri aliokupa wa wewe kuendelea na raha zako hata kama yeye amelala wala usiufuate. Kwanza hakuna raha ya kufanya hivyo ikiwa yeye ameuchapa usingizi halafu inakuwa kama unambaka vile pamoja na kuwa amekupa ruhusa ya kuendelea. Pole sana.

Nimeoa miaka 10 iliyopita. Tatizo alilonalo mke wangu ni kwamba anausingizi sijapata kuona. Miaka michache iliyopita hali ilikua mbaya zaidi kwani alikua analala hata kwenye gari jambo lililonifanya nimshauri asiendeshe gari kwa usalama wake.

Kulala kwenye gari amepunguza, tatizo limebaki akiwa nyumbani. Yani iwe mchana au usiku akiketi tu kwenye kochi baada ya dakika chache ameshapotea kwenye usingizi. Hali hiyo ndio inajitokeza hata tukiwa bedroom.

Madhara yake ni kuwa nakosa muda wa kuongea nae lakini mbaya zaidi tunapoamua kuingia bed room kwa lengo la kupeana haki ya ndoa, ndio nachoka kabisa kwa sababu muda wa kufanya romance unakosekana kwa vile nikichelewa dakika kadhaa tayari amelala.

Hali hii inanikosesha raha kwani katika maisha na mapenzi linapokuja suala la kitandani napendelea nipate ushirikiano katika kufanya maandalizi kuanzia kwenye kidole hadi kwenye utosi kabla sijazama katikati ya mapaja yake.

Nimekuwa nikijadili nae hali hii lakini kwa masikitiko amekuwa akiniambia kua hana la kufanya kuhusiana tatizo la kulala kupita kiasi. Lakini zaidi huniambia nikihitaji tendo la ndoa nikiona amelala basi nitanue tu niingize!

Jamani naomba ushauri wenu, nimsaidie vipi mke wangu apunguze usingizi kwani hali yake inanikosesha raha ya mapenzi na mke wangu.
 
Ushauri wa Roulette unahusika sana as long umesema ana Kg 100 kwa umri wa 38..vp urefu wake???
 
Last edited by a moderator:
Na mimi nilikuwa nafikiri hivo hivo...wanene wana usingizi mwingi na wanalala popote hata katikati ya mazungumzo.

Kama mnene dawa ni zoezi na diet; ni kwa afya yake pia si kwa afya ya penzi peke yake.
nyumba kubwa ungeniona ninavyocheka peke yangu hapo kwenye RED. Nakumbuka kipindi fulani nilikuwa bonge, hapo nilikuwa tu ndo nimemaliza form4, si unajua maugali ya bording. yaani kile kipindi nilikuwa nalala sana, ningekuwa nimeolewa nadhani mume naye angelalamika sana.
Ila jingine pia labda anachoka sana, ajaribu kucheza naye mida ya asubuhi hasa siku ambazo hawaende kazini asubuhi, yaani amwache alale usingizi wooote, akiamka tu anaanza naye aone kama atasinzi katikati
 
Last edited by a moderator:
Duhh! Wa kawaida kweli? Labda mkeo ni jini coz inaonekana hajali kabisa hisia zako!
Hebu fikiria anakwambia akilala uingize!!!!! Sa utakuwa unatia mtu maiti? Samahani lakini Kama nitakuwa nimekukwaza!
 
Duhh kumbe we ni Wa jinsia ya KE?
 
Last edited by a moderator:
Afu jamaa anasema mke wake ana enjoy game...ana enjoy vipi wakati ikija kwenye kuchagua game au usingizi anachagua usingizi? Aiingii akilini...yani endelea kujisevia mi nalala. Contradiction. Kha.

Duhh! Wa kawaida kweli? Labda mkeo ni jini coz inaonekana hajali kabisa hisia zako!
Hebu fikiria anakwambia akilala uingize!!!!! Sa utakuwa unatia mtu maiti? Samahani lakini Kama nitakuwa nimekukwaza!
 
Nimeoa miaka 10 iliyopita. Tatizo alilonalo mke wangu ni kwamba anausingizi sijapata kuona. Miaka michache iliyopita hali ilikua mbaya zaidi kwani alikua analala hata kwenye gari jambo lililonifanya nimshauri asiendeshe gari kwa usalama wake.

Kulala kwenye gari amepunguza, tatizo limebaki akiwa nyumbani. Yani iwe mchana au usiku akiketi tu kwenye kochi baada ya dakika chache ameshapotea kwenye usingizi. Hali hiyo ndio inajitokeza hata tukiwa bedroom.

Madhara yake ni kuwa nakosa muda wa kuongea nae lakini mbaya zaidi tunapoamua kuingia bed room kwa lengo la kupeana haki ya ndoa, ndio nachoka kabisa kwa sababu muda wa kufanya romance unakosekana kwa vile nikichelewa dakika kadhaa tayari amelala.

Hali hii inanikosesha raha kwani katika maisha na mapenzi linapokuja suala la kitandani napendelea nipate ushirikiano katika kufanya maandalizi kuanzia kwenye kidole hadi kwenye utosi kabla sijazama katikati ya mapaja yake.

Nimekuwa nikijadili nae hali hii lakini kwa masikitiko amekuwa akiniambia kua hana la kufanya kuhusiana tatizo la kulala kupita kiasi. Lakini zaidi huniambia nikihitaji tendo la ndoa nikiona amelala basi nitanue tu niingize!

Jamani naomba ushauri wenu, nimsaidie vipi mke wangu apunguze usingizi kwani hali yake inanikosesha raha ya mapenzi na mke wangu.

From my experience:
Fanya maombi kama wewe unamuamini Yesu Kristo, au akaombewe. Mpeleke hospital
 
Mbona umejiita dogo 1 alafu kumbe una mke? Dawa yake akisinzia kama utakuwa unahitaji we panua mapaja anza kulamba kinembe chake uone kama ataendelea na usingizi wake labda awe Teja"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom