Nahitaji msaada jamani nakufa

OME123

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,498
605
sasa yapata wiki mbili sasa kuna vijipele vimenitoka karibu na sehemu za mapumbu,nimeenda hospitali nimepima hawajakuta tatizo lolote,wameeniambia kuwa inawezekana sababu naavaa nguo nyingi sana ndani,nimepunguza kuvaa nguo nyingi nimetumia dawa ya kupakaa sehemu iliyooadhirika na nyingine nimeambiwa kunya lakini kidonda hakijapona wala nini,naombeeni msaada jamani nduguzanguni
 
unavaa nguo nyingi za nini na joto hilo? Jasho jingi ni chanzo cha kusababisha magonjwa ya ngozi hasa katika nchi zetu hizi za joto. kama hubadilishi chupi kila siku na kuvaa nyingine safi yawezekana una fungus, ni skin irritations tu. cha muhimu ni kubadilisha chupi kila siku na kujiweka msafi. pia jaribu tumia medicated soap *detto* na anti fungal (dawa za fungus (nystatin), pia waweza kuwa unaweka powder kama unatokwa na jasho jingi!
 
Kama ushapunguza nguo subiri kidogo uone matokeo, si umesema wiki mbili tu?
Vile vile badili nguo za ndani mara kwa mara na uoge kwa uchache mara mbili kwa siku. Pia punguza nguo wakati wa kulala. Usilale kama unatarajia kukurupushwa usiku
 
kama ulisha wahi kwenda hospitali na hujapona basi tumia dawa yangu hii. Uchukue kitunguu thomu Garlic ukitwange mpaka kiwe laini kisha achukuwe maji ya moto uoshe sehemu zenye vipele ufanye kama unasugua tumia asubuhi na usiku kwa muda wa wiki moja kwa uwezo wa Allah utapona.

Au kama utapata Asali safi ya nyuki jipake katika hizo Sehemu zenye vipele inshallah kwa uwezo wake Mwenyeezi Mungu utapona pole sana Mkuu. Tumia hizo dawa kwa muda wa wiki moja kisha unipe feed back.
 
[/QUOTE]
Asali ni mwanzo wa kukuza fungus. kwani sukari ni sehemu mojawapo ya kukuza fungus
 
sasa yapata wiki mbili sasa kuna vijipele vimenitoka karibu na sehemu za mapumbu,nimeenda hospitali nimepima hawajakuta tatizo lolote,wameeniambia kuwa inawezekana sababu naavaa nguo nyingi sana ndani,nimepunguza kuvaa nguo nyingi nimetumia dawa ya kupakaa sehemu iliyooadhirika na nyingine nimeambiwa kunya lakini kidonda hakijapona wala nini,naombeeni msaada jamani nduguzanguni

Mkuu umenichanganya kidogo, mwanzo umesema kuna vipele vimetoka karibu na mapumbu, lakini mstari wa mwisho unasema kidonda hakijapona!!! Kiutalaamu ipo tofauti kubwa ya kidonda na vipele. Kwa sababu visababishi ya vipele yaweza kuwa tofauti na visababishi ya kidonda, pia vitu hivi viwili vyaweza kutofautiana sana hata kwenye tiba. Halafu umesema umepima hawajaona kitu, hiyo nayo imenichanganya kwa sababu hata hivyo vipele au kidonda ina maana wataalamu hawajaviona. Au umepima nini mwenzetu? Kama bado unahitaji msaada wa mawazo naomba nifafanulie hayo. Na pia kama hutajali waweza chukua picha ya hivyo vipelea au kidonda ukani PM. Pole sana.

Similar Discussions

Back
Top Bottom