Nahitaji msaada haraka.

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
581103_180107545451916_100003580167682_252777_1517654110_n.jpg Ule waya unaoenda ofisi za Jf ni upi?
 
View attachment 56275Ule waya unaoenda ofisi za Jf ni upi?

Umeiogopa JF hadi unataka kutukatia mkuu. JF ni taifa kubwa, sisi tuko wireless mkuu!!! Labda nenda main Server in the US na wasiliana ......Huiwezi. Wengi wameshindwa na wamesalimu amri. Na sasa tumejisajili kabisa. Ha ha ha ha watu bana.
 
Back
Top Bottom