Nahitaji mpenzi wa kiume

Status
Not open for further replies.
kwanza huna sifa za kuwa mwanamke,hata mume umeshindwa kuishi nae,kijana wa nini? pita mbali na vijana .duuuuh!!!
 
Ajue kujituma kitandani,
sarakasi zote za 6 kwa 6.
Mh interesting! So we uko tayari kuwa submissive umuachie yeye akudrive the way he wants eeh!

Umesema sarakasi, are you flexible enough to allow him to sarakasi as well?

Anyway wish you lucky mi nimezidi umri kidogo halafu sarakasi sizijui mie nshazoea "missionary"
 
Am a Tanzanian Woman.Natafuta Kijana wa Kitanzania wa Kumlea,Almradi ajue Mapenzi na Awe Handsome kiasi.Mimi Nimetengana na Mume wangu.Sihitaji sifa zozote toka kwake,ila Mapenzi ndo ya Umuhimu.Umri wangu ni miaka 55.Yeye awe na kuanzia miaka 22-26.
Vp jicho unatoa? Nidake kazi fasta
 
Nyumbani naishi na msichana wa kazi tu.
Hyo tutakutania kwangu.
Napenda sana vijana kwani nilishawah kuwa nae hapo nyuma,ila nilimfumania.

Ngoja nikujuze ili uelewe kwa makini;
Kama kweli ni 55yrs ina maana maumbile yako yatakuwa ya kiutu uzima sasa. Hivyo kijana unayemtaka atakuwa ameshawishika labda kwa hela zako na si mapenzi 100%. Kwa mantiki hiyo kutaibuka gap la kisaikolojia kutoka kwa huyo kijana na wewe kuongeza wivu kwa sababu tayari utajiona una hati miliki kwa sababu ya huduma.

Gap hilo litasababisha kijana huyo kutaka kujiridhisha kwa wanawake wa rika lake na ambao wanamvuto kwake. Tena kama una umbo baya kwa maana ya kuzeeka basi hiyo itaachochea kijana huyo kutaka naye wanawake wa rika lake.

Kingine mapenzi ni fahari hasa kwa yule umpendaye????? Sasa endapo mpenzi wako atakosa kukuona wewe ni fahari yake jua ni lazima atatoka nje tu, hivyo sidhani kama kijana anaweza kuona mtu mzima kama wewe ni fahari yake.

Ushauri:
Utu uzima haupigi hodi, achana na mambo ya kitoto. Tafuta mtu mzima mwenzako ndiye ambaye anaweza kukutunaia siri zako na kukusitri hata aibu yako mama, pia unaweza kujidai au kuona fahari juu ya huyo mpenzi wako maana hutasakamwa na jamii na kukuchanganya kisaikolojia.

Kupenda vijana siyo vibaya lakini nini hasa special kinachopelekea upende vijana ambao hakipo kwa age mate yako au mtu ambaye umemzidi 10yrs??????
 
mtoto mtoto wako mwenyewe mtoto wa mwenzio mkubwa mwenzio akiruka ruka nae!!.. huu usemi niliwahi kuusikia siku nyingi sasa nimeuamini. kweli hii ni karne ya 3G
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom