Nahitaji mpenz

Nitakuchek baadae kwenye PM maana nahsi nilibarikiwa kipaji cha kufariji watu!! Then kila nikiona thread za kutafuta wapenzi nilikuwa nachukia coz ni za mamen kuwatafuta mabint! So ur welcom!!
 
Habari mimi ni msichana.nina miaka 23 ni mweupe. Urefu nina cm 168.mnene kiasi nina uzito kg72 natafuta mpenz wa muda(mkataba) najua weng mtashangaa kwanini mapenz kwa mkataba. in short ni kwamba nilikua single for 7yrs baada ya kuumizwa na niliyekua naye katika kipindi kifup sana. nikachukia sana wanaume so naogopa kuumiza mkaka wa wa2 kama nitakua pado sijapona majeraha ya mwanzo. ila i promise kama 2taelewana 2naweza ongeza au kuondoa kabisa mkataba.ninaomba kwa wale 2 walio serious ndo wani PM. PIA Wawe na uhakika wakutoniumiza tena. Vigezo.: awe na mapenz ya kwel inatosha. Sichagui rangi, dini, umri, wala elimu. One who isUnder ma age no plz!!!

Ngoja niku PM
 
asante mpenzi.

mi niliposoma tu, niligundua huyu bado ni mdogo sana. mi nina miaka 26 na sijaguswa na mwanume. yeye ana 23 na kishaumizwa zaidi miaka 7 iliyopita na sasa ameandaa kamkataba akidhani ni muarobaini wa kuumizwa! kweli shetani anawatesa watu! kwa kweli niliposoma niliona nisijihangaishe kujibu kitu, ila nilipoona jibu lako nikaona nikuunge mkono.

mdogo wangu umri wako ni mdogo sana. sijui umefika kiwango gani cha elimu na maisha kwa ujumla, lakini kwa umri wako na mipango uliyonayo, ni mapema sana. zingatia alichoshauri dada yetu Gaga na wengine. asante.

nisamehe kama nitakuwa nimekukwaza.

praise the Lord

Si kweli kuwa umri wake ni mdogo kwani mapenzi yanazingatia miaka?
Mapenzi ni "asili" so hata ukiwa na miaka 17 than ukaamua kuwa na mpenzi ni poa vilevile, la msingi ni kujifunza mapenzi hayana guarantee so yanaweza kuisha (kuachana) wakati wowote!
 
Hutatui tatizo kwa kutumia mkataba,utakuwa na mkataba na bado utaumizwa tu pale ambapo mwenzio ataenda kinyume.Tafuta mwanaume unayempenda kwa dhati na hakuna haja ya mikataba,uhusiano ikibidi kuvunjika utavunjika tu.Nakushauri utafute mtu wa dini yako.nina maana yangu nzuri tu,hasa kama una malengo ya muda mrefu.pia uwe una sali,unaelekea kuwa unatafuta majibu marais rais tu kama hilo la mkataba....tulia my dear,atakuja wakati usioutarajia.kila la kheri!
 
Mbona age yako ni ndogo sana kukata tamaa mpenzi, halafu unaongelea kuumizwa sana ukiwa na miaka saba nyuma yaani 17yrs! naamini hata aliyekuumiza alikuwa hajui anafanya nini, nakushauri usiingie haya mambo ya mkataba labda useme unahitaji mpenzi ambae makemistry yakikubali muendelee next level yaani uchumba. kwa mimi nakuona bado una muda mwingi wa kupata perfect match
wee ndie umemshauri la maana, nimekupenda
 
Nashukuru sana kwa ushauri wenu mzuri nimeshapata jibu kumbe nilikua napoteaeeee! Kumbe ndo mana PM Kibao mpaka nyingine nashindwa kusoma kisa "mkataba" oohoho.... asanteni kwa kunifumbua macho sasa nimeahirisha. halafu: PM ZINATOSHA SIHITAJI ZAIDI TENA
 
Habari mimi ni msichana.nina miaka 23 ni mweupe. Urefu nina cm 168.mnene kiasi nina uzito kg72 natafuta mpenz wa muda(mkataba) najua weng mtashangaa kwanini mapenz kwa mkataba. in short ni kwamba nilikua single for 7yrs baada ya kuumizwa na niliyekua naye katika kipindi kifup sana. nikachukia sana wanaume so naogopa kuumiza mkaka wa wa2 kama nitakua pado sijapona majeraha ya mwanzo. ila i promise kama 2taelewana 2naweza ongeza au kuondoa kabisa mkataba.ninaomba kwa wale 2 walio serious ndo wani PM. PIA Wawe na uhakika wakutoniumiza tena. Vigezo.: awe na mapenz ya kwel inatosha. Sichagui rangi, dini, umri, wala elimu. One who isUnder ma age no plz!!!
Huku JF sikushahuri huku majeraha yatazidishwa nenda uswazi katafute wa bahati yako huku wote ni nshomile!!!!(Maanake rongorongo)Najua wengi mtani suu ila ukweli utabaki palepale!!Kama nimewakwaza wana jamvi nipo nyuma yenu!kwa kila kitu sichochote silolote!
 
habari mimi ni msichana.nina miaka 23 ni mweupe. Urefu nina cm 168.mnene kiasi nina uzito kg72 natafuta mpenz wa muda(mkataba) najua weng mtashangaa kwanini mapenz kwa mkataba. In short ni kwamba nilikua single for 7yrs baada ya kuumizwa na niliyekua naye katika kipindi kifup sana. Nikachukia sana wanaume so naogopa kuumiza mkaka wa wa2 kama nitakua pado sijapona majeraha ya mwanzo. Ila i promise kama 2taelewana 2naweza ongeza au kuondoa kabisa mkataba.ninaomba kwa wale 2 walio serious ndo wani pm. Pia wawe na uhakika wakutoniumiza tena. Vigezo.: awe na mapenz ya kwel inatosha. Sichagui rangi, dini, umri, wala elimu. One who isunder ma age no plz!!!

hapo kwenye bold, chunga usiuziwe mbuzi kwenye gunia!
 
Nimekupenda ghafla tatizo hiyo weight yako 72kg, wakati mimi nina 65kg. Wasiwasi wangu ni yakianza malavi davi ya kidhungu ya kubebana sijui ntaweza kukubeba !!?
 
Nimekupenda ghafla tatizo hiyo weight yako 72kg, wakati mimi nina 65kg. Wasiwasi wangu ni yakianza malavi davi ya kidhungu ya kubebana sijui ntaweza kukubeba !!?

uzuri mmoja ni kwamba wanaume mnabeba mara mbili ya uzito wenu
 
nashukuru sana kwa ushauri wenu mzuri nimeshapata jibu kumbe nilikua napoteaeeee! Kumbe ndo mana pm kibao mpaka nyingine nashindwa kusoma kisa "mkataba" oohoho.... Asanteni kwa kunifumbua macho sasa nimeahirisha. Halafu: Pm zinatosha sihitaji zaidi tena
kweli dada are you serious? Mh kuna wakati wa mzaha na wa ukweli okey jokes hata kwenye haya ya msingi ?
Ulikuwa unataka mpenzi au ulikuwa unatakakuelewesha ndoa za mkataba ?mhh mungu saidia
 
ARE YOU SERIOUR ?? LOL.. Sijawahi kusikia mapenzi ya mkataba.. Anyways Lakini I'am available.. I'AM SINGLE, SEXY AND FREE..LOL.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom