Nahitaji mpenz wa mkataba

Nothing4good

Senior Member
Feb 19, 2011
180
55
Habari mimi ni msichana.nina miaka 23 ni mweupe. Urefu nina cm 168.mnene kiasi nina uzito kg72 natafuta mpenz wa muda(mkataba) najua weng mtashangaa kwanini mapenz kwa mkataba. in short ni kwamba nilikua single for 7yrs baada ya kuumizwa na niliyekua naye katika kipindi kifup sana. nikachukia sana wanaume so naogopa kuumiza mkaka wa wa2 kama nitakua pado sijapona majeraha ya mwanzo. ila i promise kama 2taelewana 2naweza ongeza au kuondoa kabisa mkataba.ninaomba kwa wale 2 walio serious ndo wani PM. PIA Wawe na uhakika wakutoniumiza tena. Vigezo.: awe na mapenz ya kwel inatosha. Sichagui rangi, dini, umri, wala elimu. One who isUnder ma age no plz!!!
 
Pole kama kweli uliumizwa. Wasiwasi wangu ni kuwa kwa sasa una 23yrs lakini uliumizwa 7yrs a go, kwa hesabu rahisi ulikuwa chini ya 16yrs je huyo aliye kuumiza alikuwa na miaka mingapi? pia ulikuwa ni uhusiano wa aina gani kwa sababu ulikuwa bado ni mtoto ilitakiwa uwe shuleni. Mimi nadhani ulikuwa ni mtoto na huku stahili kujiingiza kwenye mapenzi bali ulikuwa ni muda wako wa kuwa shule. Kingine achana na mawazo ya mapenzi ya mkataba bado wewe ni binti mdogo unatakiwa utengeneze maisha yako na wanaume watakao kupenda kwa dhati watakuja wenyewe. Kunatofauti kubwa sana kati ya ngono na kupenda, kama shida yako ni ngono basi endelea kama ni kupenda omba mungu na andaa maisha yako then utampata ambaye anakupenda, anakuthamini na ambaye wewe mweyewe utampenda awe wako wa maisha.
 
nashukuru sana ndugu kwa ushauri wako ila kwani ukiwa shuleni hupaswi kupenda? Aliyeniumiza siwezi kumuita mtoto kwa sababu yeye alikua chuo tena
 
Mpenzi wa Mkataba! Alafu awe na Mapenzi ya KWeli ! hahahahahahahhahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Haya ngoja nisubiri nione.
 
Habari mimi ni msichana.nina miaka 23 ni mweupe. Urefu nina cm 168.mnene kiasi nina uzito kg72 natafuta mpenz wa muda(mkataba) najua weng mtashangaa kwanini mapenz kwa mkataba. in short ni kwamba nilikua single for 7yrs baada ya kuumizwa na niliyekua naye katika kipindi kifup sana. nikachukia sana wanaume so naogopa kuumiza mkaka wa wa2 kama nitakua pado sijapona majeraha ya mwanzo. ila i promise kama 2taelewana 2naweza ongeza au kuondoa kabisa mkataba.ninaomba kwa wale 2 walio serious ndo wani PM. PIA Wawe na uhakika wakutoniumiza tena. Vigezo.: awe na mapenz ya kwel inatosha. Sichagui rangi, dini, umri, wala elimu. One who isUnder ma age no plz!!!

Huu mtego, WALLAH TENA ngoja nifanye upekuzi
:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
 
Mods fungeni hii kitu bana mbona ni duplicate ya ile nyingine?

Sure,
hii imejirudia na alitupiga stop tusim-PM kwani ameshadadavua na kujitambua,, anatuchanganya tu huyu sijui UMRI unamsumbua?
 
Mtoto umeanza ukahaba mapema jamani mweee, puuu, soma umalize achana na ngono, ukimwi upo na unaua.
 
Siku moja atakuja mtu hapa ataema nina mume wangu nampenda but amesafiri...
Na leo nimeamka i feel so h.o.r.n.y.....kwa hiyo nahitaji mtu wa one night stand...

Kila siku kuna mapya hapa jf......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom