Nahitaji mini galaxy au bb 9700

Ya kichina hata 70 tau unapata.
Ila kwenye forum hii uki-search kuna matangazo ya zote mbili.
 
Ndo bizinesi za kiswahili ndugu. Ngoja waingie cafe watakujibu. Pole mwaya. Mie nna blackberry inaingia line 4, kwa raha zangu! Made in kariakoo!
Wenyewe hawarespond unam pm anakaa kimya thats it king'ast
 
Blackber bold 97oo nokia asha 3o3 bb bold 2ooooo hiyo asha 18oooo na samsung gt-b7722 laki 2 ni pm
 
in case ukihitaji galaxy ace S5830 kwa kilo tatu nakuuzia. iko bomba sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom