Nahitaji mchumba wa kuoa

profr

New Member
Dec 3, 2011
3
0
Natafuta mchumba mwenye sifa zifuatazo;
1. Awe mkristu mwenye hofu ya MUNGU.
2. Umri usiozidi miaka 25.
3. Mweupe, mwenye umbo la wastani (average), mrefu wastani
4. Elimu kuanzia form 6 na kuendelea
5. Mwenye msimamo katika maamuzi
6. Awe mfanyakazi wa kuajiriwa au kujiajiri


Wasifu wangu
Ninamiaka 29,
Nimfanyakazi wa serikari,
Nmrefu wa wastani,umbo langu ni average

Kwa yeyote atakaye kuwa tayari ani PM.
Niko serious sana.

Mungu akubariki.
 
Kama huyu?
Diversity-BeautifulBlackWoman.jpg
 
Kwanini waombaji msiwe mnaweka picha ili biashara yenu iende vizuri.Halafu mtakuwa mnawavutia wanunuzi wa hi biashara yenu .Yangu ni hayo fanya picha mkuu mabinti wapagawe.
 
Kwanini waombaji msiwe mnaweka picha ili biashara yenu iende vizuri.Halafu mtakuwa mnawavutia wanunuzi wa hi biashara yenu .Yangu ni hayo fanya picha mkuu mabinti wapagawe.

Picha huwezi kuweka kwani watu tunatofautiana fikra hasa kwa wale wanaokufahamu, hii ishu ni confidential mbona haaulizi kwanini tusitumie majina yetu halisi humu jamvini. kwa yule atakayejitokeza hivyo vyote atavipata i mean jina langu halisi na picha. upo mkuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom