Amenn JF-Expert Member Dec 21, 2015 321 422 Nov 25, 2016 #1 Mbegu za pilipili, pilipili hoho ,nyanya, majani ya maboga , zinauzwa wapi ? Siyo nyingi, zinazouzwa kidogo.
Mbegu za pilipili, pilipili hoho ,nyanya, majani ya maboga , zinauzwa wapi ? Siyo nyingi, zinazouzwa kidogo.
lil_nocran Member Jul 10, 2014 46 18 Dec 1, 2016 #2 Nicheak nitakuuzia mbegu ya majani maboga,0689095488
otto2020 Senior Member Oct 10, 2016 197 426 Dec 3, 2016 #3 mbegu za pilipili hoho na pilipili aina zote zinauzwa maduka ya pembejeo .tembelea maduka ya pembejeo yaliyo karbu yako
mbegu za pilipili hoho na pilipili aina zote zinauzwa maduka ya pembejeo .tembelea maduka ya pembejeo yaliyo karbu yako