Nahitaji mbaula 682, nataka kulitumia kisiasa.

jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,558
25,320
Nataka kuingia nalo bungeni!
Mwenye nalo tuwasiliane haraka.
Spika makinda ajiandae kwa ugeni huu mkubwa na wa kihistoria,
nitafikia speakers changing room, sihitaji kutangazwa, nitajitangaza mwenyewe kwa kishindo.
Nasisitiza ni kwa matumizi ya kisiasa.
 
Wakuu namaanisha fiat 682 (mbaula) bila treler, nahitaji kibini pekeyake. Niitumie kisiasa, msihofu.
 
Wakuu namaanisha fiat 682 (mbaula) bila treler, nahitaji kibini pekeyake. Niitumie kisiasa, msihofu.

Jogi nimekuelewa na nimependa idea yako,anza kwanza na mzinga uliojaa nyuki ukafanye maonyesho uufungulie pale kwa spika na naibu wake waseme na hao nyuki wawe na adabu kwa watanzania.
 
Ha ha ha haaaa mkuu Mbaula si mpaka kuwe na madereva wawili maana usukani wake ni mgumu sana, mimi ninalo lakini limepaki miaka 3 sasa... karibu Nkasi.
 
Mimi ninalo ni PM. Nitakugaiya bureeee.

Kabla sija ku-pm niambie kwanza yule tomasi lyimo pale kimara ile karakana yake bado ina operate, tufanye hii kitu Tani 15 jamani si zinatosha kutusawazishia mambo, nahivi ni barabarani pale! Naweka tofali kwenye accelerator tuone sergeant at arms watakavyo. . . . .
 
Wakuu namaanisha fiat 682 (mbaula) bila treler, nahitaji kibini pekeyake. Niitumie kisiasa, msihofu.

Beethoven, nimecheka sana. Sipatipicha jinsi yule bibi atakavyokimbia nyuki, na mzee wa usingizi atakavyotoka spidi ya faru
 
Beethoven, nimecheka sana. Sipatipicha jinsi yule bibi atakavyokimbia nyuki, na mzee wa usingizi atakavyotoka spidi ya faru
Wajadi lile wigi atapelekewa na sergeant at arms,
yule wa kukoroma atakurupuka breki ya kwanza atajigonga ukutani, kabla ya kujua mlango uko wapi, yaani usipime!!! Lusinde sijui kama atasahau "kudadadeki"
 
Last edited by a moderator:
peleka hii kule kwenye Jokes. ina vigezo.

Nimekwambia "nitalitumia kisiasa"
nikufafanulie kidogo, hilo "mbaula" nitalitumia ku-deal na wanasiasa-wabunge, usilete chokochoko zako!
 
MHV_Fiat_682N3_King-of-Africa_1962.jpg
 
kwanini kwenda na limbaula lote hilo,
wasiliana na watoto wa ...va wakupe
vitu vya uhakika bana.
 
Kabla sija ku-pm niambie kwanza yule tomasi lyimo pale kimara ile karakana yake bado ina operate, tufanye hii kitu Tani 15 jamani si zinatosha kutusawazishia mambo, nahivi ni barabarani pale! Naweka tofali kwenye accelerator tuone sergeant at arms watakavyo. . . . .

Mkuu jogi, ile gereji ilipigwa BAN baada ya zile barozi 2 Tanzania na Kenya kulipuliwa na mabomu. Hata vile vibanda vya maziwa vya Tom daily navyo vilianza kupungua hapo town dar.
 
Last edited by a moderator:
kwanini kwenda na limbaula lote hilo,
wasiliana na watoto wa ...va wakupe
vitu vya uhakika bana.

Kuingi mule ndani ni kwa password, itanichelewesha, unatakiwa ku-crash gate, na asitokee wa kukuzuia bali kila mmoja awe kwenye harakati za kujiokoa ili nasi tupate ground zero with course!!!!!
 
mkuu natamani niigeuze hii picha ndo iwe mabula halisi. Hapa nilipo nasikiliza wimbo marijani rajabu anaimba "kweli sikitiko oh sikitiko ooh,
na machozi yanatutoka mamaa aa!
Mbona wale wenzetuu wanatesekaa mama! Wako katika makucha ya watu "weusi" wachache.

Naamini nitalipata mbaula nami niingie front. Nawamaind kina mayunga, sarakikya, twalipo, musuguri n.k
 
Mkuu jogi, ile gereji ilipigwa BAN baada ya zile barozi 2 Tanzania na Kenya kulipuliwa na mabomu. Hata vile vibanda vya maziwa vya Tom daily navyo vilianza kupungua hapo town dar.

Aiya weeeee!
Napanda gari muda huu, kuelekea "mang'ula mechanical engineering" ikiwa kuna mtu anamfahamu engineer msiri pale anifahamishe tukafanye mambo. Nina nia tupate ground zero yetu with course.
 
Last edited by a moderator:
mang'ula jamani hakuna ma-engineer huko!!!!, mbona mnaichelewesha shughuli.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom