Nahitaji Mashine ya Maxmalipo

Jun 6, 2016
5
1
Mambo vipi wadau

Naomba msaada wenu kwa yeyote anayefahamu jinsi ya upatikanaji wa mashine ya maxmalipo anisaidie.

Au kama kuna mtu anaiuza anitafute kwa namba 0712353346
 
acha kupenda vitu vya mkato nenda millenium tower wanaziuza kwa laki sita tu unapata mpya
Mambo vipi wadau
Naomba msaada wenu kwa yeyote anayefahamu jinsi ya upatikanaji wa mashine ya maxmalipo anisaidie. Au kama kuna mtu anaiuza anitafute kwa namba 0712353346[/QUOTE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom