Nahitaji maombi!!!!!!!!

mkuu jivishe explosive kama al shabab/alqaida ujilipue nae, utakuwa umetusaidia sana kumwondosha huyo nduli
 
Nakupongeza kwa roho hiyo kukupata kwakuwa sasa tunazidi kuongezeka tuliofunguliwa akili toka makucha ya kinyonyaji ya mabakauchumi(ccm)! Binafsi ugonjwa huo kwangu umepanda kwani hatafamili yangu yote mpaka mwanangu wa miaka miwili akisikia au kuona mkweree akiongea huzima luninga huku akisonya na matusi kibao! Ninakereka bila sababu nikiwaona akinamama wanaouza mihogo wakiwa wamevaa yale matshet yakijaniccm huku nimasikini wakutupwa.
Kila siku namuomba mungu awape ufahamu wtz wote na mwisho wa siku waichukue nchi yao toka kwa kikundi hiki mumiani.
Mungu ibariki tz, Mungu zibariki roho za waja wako wapate kufunguliwa!!!!
 
Huyo endelea tu kumchukia. Mi ningekuwa naweza kuchukia watu na mimi ningemchukia.
Hiyo siyo chuki kabisa na hata dhambi hupati. Lol.
 
Jamani kwa watu wa imani zote naombeni msaada wa maombi yenu. Miaka ya hivi karibuni kuna roho ya chuki mbaya imeibuka moyoni mwangu dhidi ya binaadamu mwenzangu.




Kabla ya Mkapa na kikwete kuingia madarakani nilikuwa na tabia ya kupenda kufuatilia hotuba za Rais Ali Hasan Mwinyi kila anapohutubia taifa na wakati mwingine nilikuwa nasitisha shughuli zangu ili nimsikilize rais, baada ya kumaliza mda wake akaingia Mkapa, huyu mtu alijiwekea utaratibu wa kulihutubia taifa kila mwisho wa mwezi ni katika kipindi hiki iliibuka shauku kubwa zaidi ya kufuatilia hotuba za viongozi wa nchi kiasi kwamba hata mimi nililazimika kuweka katika ratiba zangu ilimradi tuu nisiikose hotuba ya rais hata moja, siyo kila alichohutubia Mkapa nilikipenda lakini nilikuwa nafurahishwa sana na namna alivyokuwa anapangilia vizuri hotuba zake na kuzi-address hoja kisomi.




Alipoingia Kikwete madarakani niliendelea kufuatilia kwa karibu hotuba zake za kila mwezi, tofauti na miaka ya nyuma taratibu nikawa sivutiwi kuendelea kusikiliza mpaka hotuba yake iishe, baadaye nikawa simsikilizi hata kama nipo karibu na TV au redio, hii hali iliendelea kwa mda kidogo, mbaya zaidi katika kipindi hiki cha kuanzia 2011 tatizo limekuwa kubwa zaidi kila nimsikiapo rais aidha nitazima Tv au nitalazimika kubadiri stesheni, na mahala nisipo na mamlaka ya kufanya hivyo nimekuwa nalazimika kuondoka eneo hilo. Hili tatizo linazidi kuwa baya zaidi kwasasa hata nikimsikia mtu anazungumzia habari zake huwa nakasirika, najua tatizo kubwa laweza kuwa ni uwongo wake alio ufanya katika kampeni akiwa anawania kuingia madarakani kwa mara ya kwanza, pale aliponidanganya “maisha bora kwa kila mtanzania” nikajikuta nampatia kura yangu bila kujua kwamba huyu mtu ni wa mzahamzaha”. Naombeni msaada wa maombi roho yangu ijirudi kidogo kwa huyu mtu
Mkuu hilo nalo ni la kuhitaji maombi?mbona kama hivyo ndivyo...... tupo wengi basi wa tatizo ka lako.
 
Back
Top Bottom