Nahitaji mabinti kwa ajili ya kufanya shooting ya nyimbo

B.O.G

Senior Member
Feb 17, 2011
144
40
B Kubwa Production ina penda kuwatangazia kwamba inatafuta mabinti ambao watashiriki katika kushoot video mpya ya mziki ambayo inatarajiwa kutengenezwa hivi karibuni.
contact :0718888840
 
Ule Wimbo wa JK Umeweka Historia Tanzania bado ulikuwa haujaufanyia Shooting kumbe duh!
Humu wapo wengi ila Jiandae kuwatumia Tiketi kwa njia ya Western Union wengi wapo Japan UK USA Brazil...
Hao Mabinti wanaoanzia umri gani...?
Unatoa Dau kiasi gani nimshawishi Kongosho...
 
B Kubwa Production ina penda kuwatangazia kwamba inatafuta mabinti ambao watashiriki katika kushoot video mpya ya mziki ambayo inatarajiwa kutengenezwa hivi karibuni.
contact :0718888840

Kwanini usiwachukue dada zako na ndgu zako wa kike bila kumsahau mkeo au demu wako b
wakenda kushuti hiyo vdeo?
 
mama na baba walitokea kwenye video yangu ya kwanza ,maana ili wahusu.nilikuwa nawashukuru kwa yote walio nitendea. video yangu ya pili dada na kaka walishiriki maana nyimbo ilikuwa ikiwaasa juu ya maisha yao ya sasa na yabaadae. nikiwa kwenye daladala napeleka video yangu ya pili kwenye kituo cha tv nilikutana na mrembo ambaye alinifanya nifurahie foleni ya dsm skuiyo maana, tuliongea mengi na kisha tukawa wapenzi baada ya mwezi mmoja. miezi mitatu baadaye huyu mpenzi wangu alishiriki kwenye video yangu iliyofuata kwa maana nilikuwa namsifia jinsi anavyo jua kunipenda. hivyo practicaly familia yangu yote imesha shiliki katika vdz angu. sasa ni wakati wa kuachana na undugulization nakuwapa nafasi wote ambao wana pendelea. kisha cjui kalender yako inasemaje , ila yakwangu inasema huu ni mwaka wa 2012 na kila m2 ana haki ya kufanya apendachio na kuwashirikisha wapendao na awapendao pasipo kuunja sheria .
 
shiliki = shiriki
 
Back
Top Bottom