NAHITAJI LAPTOP USED, kwa anayeuza.

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
Habari wan JF! Natafuta laptop used ambayo sio mbovu mbovu, nina 400000, nipo moro mjini so kwa anayeuza ani-pm 2fanye biashara, NIPO SERIOUS NA NAOMBA HIYO ISIWE MBOVU, na kama tatizo ni betri naomba uhailishe. tanx ol.
 
have 8 apple laptops, ibook g4, 40gb hdd, they are coming from usa, on 17/03/2012 will arrive. i will give you for that 400k. pm me
 
Npo mro ninazo machine kwa 399000 HDD 80 RAM 2 GB PROCESSER 1.6 GURANTEE 1 YRS ZPO DELL AINA ZOTE HP NA COMPAQ NPM KAMA UNATAKA NIMEAGIZA MWENYEWE FROM USA 0683672508 bei aipungui unauona mzgo ukirithika unatoa hla
 
Nina laptop aina ya toshiba satellite A205-S5805...Icheki specification zake kwenye google... Ni nzuri sana betri masaa mawili... ina headphone za kisasa kabisa na adaptor nzuri.. Nimeweka na program flani ya kupiga simu bure nje ya nchi.. Bei laki nne na nusu.. kama upo tayari kuongeza tafadhari nipm nikupe namba yangu... mi nipo mwanza.
 
Back
Top Bottom