Nahitaji laptop au min laptop

Jeff

JF-Expert Member
Sep 26, 2009
1,293
199
Iwe na 2GB ram,120GB HDD au zaidi,2Ghz,dvd rw,wifi,charge ikae masaa 3 au zaidi,kama ni mini bas iwe na 320GB HDD au zaidi,nina 350,000/= niPM kama unayo
 
Kwa specification unazotaka na budget yako we mkali sana. Ukiwa umeongeza hiyo budget nicheki
 
Kweli kwa hiyo bei labda nikiuuzie dektop pentium 1 niliyoitumia wakati naanza chuo
 
Iwe na 2GB ram,120GB HDD au zaidi,2Ghz,dvd rw,wifi,charge ikae masaa 3 au zaidi,kama ni mini bas iwe na 320GB HDD au zaidi,nina 350,000/= niPM kama unayo

TZS 350,000 NI SAWA NA DOLA 205.NetBook yenye 250GB HDD NA 1GB RAM INAUZWA DOLA 250-300. SO BUDGET YAKO NI NDOGO SANA NA HIYO NI BEI YA STOO MARERKANI. HADI IFIKE HAPA BONGO NI NI DOLA 300-350. KAMA UNAWEZA KUJIVUTA HADI DOLA 450 NITAKUPATIA MASHINE NZURI UT INABIDI KUSUBIRI KWA MUDA WA WIKI 3-4
 
mpya au used? Na ni mini au?
 
Mi ninayo mini ya kichina used. haina jina kwa sasa. 160gb, 1gb ram, webcam.. Unataka?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom