Nahitaji laki 5 za haraka

KAPIRIPIRI

Member
May 24, 2011
31
9
Mimi ni mjasiliamali mwenye kutambuliwa na mamlaka husika nchini.Kuna investment ya haraka nataka kuifanya, Itagharimu milioni mbili, tayari nina milioni moja na nusu, nahitaji mtu wa kunikopa laki 5, itarejeshwa baada ya mwezi mmoja.Tutakubaliana juu ya riba na dhamana.Naomba maoni yenu au directives.Sitaki urasimu wa benk zetu hapa nchini.Tusaidiane jamani.
 
JF siyo saccos, hapa ni mijadala tu kwa kwenda mbele!

Join Date : 24th May 2011
Posts : 3
Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 0
 
Duh hayo majibu? Hili ni jukwaa la business hajapotea. Bado kuna watu wanaitwa business angels, to them, that is an opportunity. Unatakiwa useme huko wapi ndio watu watakutafuta. Kuna watu wanapesa wanatafuta pa kuwekeza.
 
Habari zenu wakubwa. Nimefurahi kwa jinsi JF tunavyoweza kusaidiana. Nami pia naombeni msaada wa namna ya kupata mil moja ya kurudisha ndani ya mwezi mmoja, nipo tayari kulipa na riba. nipo dar es salaam. mwenye msaada, tafadhali ani PM.
 
JF siyo saccos, hapa ni mijadala tu kwa kwenda mbele!

Join Date : 24th May 2011
Posts : 3
Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 0

Acha kebehi mkuu, kama huna la kuchangia you just skip. watu wanafanya biashara kwa kuitumia JF sasa unashangaa nini yeye kutafuta mtu wa kucconect nae akope pesa kwa riba? haujui kama kuna watu wanaishi mjini kwa biashara ya kukopesha watu wengine pesa?
 
Mimi ni mjasiliamali mwenye kutambuliwa na mamlaka husika nchini.Kuna investment ya haraka nataka kuifanya, Itagharimu milioni mbili, tayari nina milioni moja na nusu, nahitaji mtu wa kunikopa laki 5, itarejeshwa baada ya mwezi mmoja.Tutakubaliana juu ya riba na dhamana.Naomba maoni yenu au directives.Sitaki urasimu wa benk zetu hapa nchini.Tusaidiane jamani.

Duuu....!!!
 
Unajua kuna watu wakiamka asubuhi kuna mawili, hangover au desperateness.. Sasa wewe mtu akikopa hapa inakuhusu nini? hizo saccoss kwani hatuzijui?

Ni vizuri ukae kimya kama huna cha kuandika kuliko kuandika ukahalalisha upumbavu wako.
 
NENDA HAPA :clock: African Microfinance :A S thumbs_up:pale Mlalakuwa :fish: njia ya kwenda UCLAS mwone Chris Mob. +255 713 193500:A S thumbs_up:Ukifanikiwa nipo pale Landmark jioni njoo tufurahie mafanikio:A S-rose:
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Back
Top Bottom