Nahitaji kutumia iPhone kama modem

usiDownload kupitia Itunes huwa inachukua mda mwingi sana na maranyingi inaFail kabla haijamaliza, download kupitia hii link http://appldnld.apple.com/iPhone4/061-9853.20101122.Vfgt5/iPhone1,2_4.2.1_8C148_Restore.ipsw Save hiyo file sehemu yoyote kwenye computer, weka Bundle ingine alafu download haitachukua hata lisaa limoja kwenye network ya 3G,,

mkuu nipo na download,ila kuna jamaa katoa modem kwa bahati mbaya kazi ikasimama,hivi hakna namna ya kuendelea pale ilipoishia,mana kanza moja ni usumbufu sana

unadownload kupitia njia gani? kama ni torrents inafaa na pia Download accelerator huwa maranyingi inaResume ilipoishia..........

Nime-highlight link ulonipa hapo juu na kudownload mkuu.

Nime-highlight link ulonipa hapo juu na kudownload mkuu.
hapo nafkiri imeDownload Regularly, kama ilistop kudownload hapo nafkiri ni lazima uanze upya tena, ungepata bundle ya kueleweka ndani ya nusu saa ungeweza kudownload..au Instal Download Accelerator alafu ilink na browser zako ili uweze kuPause Downloads na kuResume....

usiDownload kupitia Itunes huwa inachukua mda mwingi sana na maranyingi inaFail kabla haijamaliza, download kupitia hii link http://appldnld.apple.com/iPhone4/061-9853.20101122.Vfgt5/iPhone1,2_4.2.1_8C148_Restore.ipsw Save hiyo file sehemu yoyote kwenye computer, weka Bundle ingine alafu download haitachukua hata lisaa limoja kwenye network ya 3G,,

mkuu nimefanikiwa nimesha download kupitia link ulo nipa,sasa nikitaka kuipeleka kwenye software ya itunes,haikubali,sanasana itunes inataka kudownload yenyewe,je nifanyeje ili ni update simu sasa mana ios4.2 ipo tayari kwenye Pc yangu.

Wakuu,kama kuna mwenye kaujuzi haka,nimedownload version ya iPhone 3G,ios 4.2,ipo kwenye computer tayari,sasa nashindwa namna ya kuiingiza kwenye software ya iTunes ili ni update simu yangu,kila Niki-conect simu,iTunes inataka kudownload ile version kwenye mtandao,munisaidie wajameni.......!!!!

Similar Discussions

Back
Top Bottom