Kitabu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 302
- 26
- Thread starter
- #21
Mkuu nilikutumia e-mail,je uliipata????
<br />
<br />mkuu Internet Tethering imewezeshwa kuanzia IOS Version 4 na kuendelea hivyo unatakiwa uUpgrade firmware ya simu yako to IOS 4+, pia ni muhimu kuJailbreak ili uweze kuweka MyWi 4.0 kama mkuu alivyofanikiwa hapo juu...kuna Tutorial za namna ya kujailbreak kwenye google, ila ungekuwa umeniandikia ni Iphone gani unatumia kati ya Iphone 2G, Iphone 3G, Iphone 3GS na Iphone 4 ningekutaftia jailbreak ya ios unayotakiwa kuweka,,,,
<br />