Nahitaji kuprint logo kwenye handbags in Nairobi

Nilikua nafanya mambo haya kipindi nahustle nikiwa kijana pale Luthuli, Kirinyaga na River Road, labda subiri niwasiliane na wadau wangu waliopo bado kwenye tasnia hiyo.
 
Kuja Uhuru Market,its along Jogoo road.
Anything to do with handbags utasaidika :)
 
Ntashukuru sana mkuu MK254 ukinisadia hata contact tu
 
Last edited by a moderator:
Riva rodi mwisho wa matatizo kila kitu halali haramu kinapatikana isipokuwa labda roho spare.
 
Back
Top Bottom