Nahitaji kupata kazi Serikalini

Byera

New Member
Jul 17, 2009
1
0
Wana Jf

Nimefanya kazi katika NGOs na sasa nimechoshwa kufanya kazi huko.

Nisaidieni nipate kazi serikalini.
 
Wana Jf

Nimefanya kazi katika NGOs na sasa nimechoshwa kufanya kazi huko.

Nisaidieni nipate kazi serikalini.
fikilia mara ya pili mkuu labda kwenye agency za serikali kidogo mambo ni shwari lakini kwingine utakutana na kitu TGS hii ni ngazi ya mshahara n mbaya kuliko.
 
Wana Jf

Nimefanya kazi katika NGOs na sasa nimechoshwa kufanya kazi huko.

Nisaidieni nipate kazi serikalini.
Mh Mkuu yaani tangu july 2009 umpost mara moja tu yaani katika post hii?
 
Yaani kwa mtindo huu nadhani kupata kazi kwako itakuwa ngumu sana. Be descriptive ili yeyote anayesoma post yako anaweza kuelwa ni kazi gani unayoweza kufanya. Au unafikiri unatoa tangazo hili kwa wana-NGO wenzako? Be mature
 
Wana Jf

Nimefanya kazi katika NGOs na sasa nimechoshwa kufanya kazi huko.

Nisaidieni nipate kazi serikalini.

eh! NAOMBA NISAIDIE NIPATE KAZI HUKU kwenye NGO mwenzio natamani!!!!!!!!!!!!
 
Tatizo lako jamaa yangu hujasema umesomea nini!! Maana sasa hivi kazi za serikalini ziko nje nje mradi uwe na ujuzi wako uliosomea. Siyo umemaliza "O" level halafu unataka ukafanye kazi serikalini hapo hupati kitu , labda kubeba mafaili kutoka ofisi moja kwenda nyingine.

Lakini kama una cheti chako (Hasa kuanzia Diploma na kuendelea) mfano kilimo, ualimu, mifugo, uuguzi, uganga, Maendeleo ya jamii n.k kazi utapata nenda tu kwenye ofisi ya DED hapo ulipo ukaulizie watakupa ufafanuzi. Maana sasa hivi kila halmashauri inaangalia mapungufu na kujaza hizo nafasi kwa kutangaza. Kwa kweli kwenye NGOs watu wanapataka tu lakini unafanyishwa kazi kama punda tofauti na serikalini kuna fursa nyingi sana mfano kujiendeleza kielimu, kufanya shughuli zako binafsi n.k. kwenye NGOs huo muda utaupata wapi? Hata kufanya kibiashara tu kidogo ni kazi kweli kweli!
 
Mh Mkuu yaani tangu july 2009 umpost mara moja tu yaani katika post hii?

mkuu, hilo swali lako linahusianaje na topic?

lakini kweli ni ajabu. karegister 2009, leo ndio post yake ya kwanza. Inaelekea aliregister ili apate kuona topics za members only, ila hana cha kuchangia.
 
Back
Top Bottom